Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wakuu naomba anayejua utaratbu wa kutuma barua kwa njia ya posta garama zake na zinatumwa wapi kwa hapa dar es salaam.

EMS...15000/=
ile njia ya kuweka kwenye sanduku bei yake ni 1800,japo inategemea na uzito wa bahasha lakini kwa bahasha izi za application inakuaga ivo 1800.
 
Back
Top Bottom