mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Tupe lonja tenaa[emoji28][emoji28] vipi boom tayari au ??
Wakuu mwenye lonja huko Magereza... Nimeona kuna mdau kafungua Uzi kwamba amepigiwa simu aende kwenye usaili magereza
Sijui ni kweli? Mwisho wa kutuma maombi ilikua jana tu, et leo tu tyr washaita watu kwenye usaili... Jamaa anasema huko usaili trh 13/10/2021
Sijui ni kweli? Mwisho wa kutuma maombi ilikua jana tu, et leo tu tyr washaita watu kwenye usaili... Jamaa anasema huko usaili trh 13/10/2021
Tunadanganyana sana wabongo kwan barua zote c zinatumwa posta sasa aliambiwa na nani au yy barua yake pekee yake ilikua inapokelewa mkononi na sio posta kama tangazo lilivokua linajieleza kwamba hatupokei barua kwa mkono ..Mh sidhani ila kuna ndugu angu yupo mwanza aliomba kama form six wao wameombea mikoani asema alipopeleka tuu akaambiwa tar 10 aende kwenye usaili ....
Sasa huyu wa taaluma anaesema ameitwa duh sijui..??
Hayawi hayawii....... Wazee wa Lonjaa
Ni taarifa ya kweli, kama wewe ulifaulu vizuri basi jeshi la polisi halikuhitaji, Jeshi la polisi limejipanga kuajiri failure watupu.Hivi Taarifa ya Simbachawene ni ya Kweli?
Ni taarifa ya kweli, kama wewe ulifaulu vizuri basi jeshi la polisi halikuhitaji, Jeshi la polisi limejipanga kuajiri failure watupu.
Jmn tuliotuma maombi magereza wangapi mmeitwa usaili mn nimepigiwa simu kesho niende kwa mkuu wa gerezaHahaahaha wewe ASP umethibitisha hiyo kuwa ni kweli?
Kwaio naomba kuuliza wenye ronja ronja wengineJmn tuliotuma maombi magereza wangapi mmeitwa usaili mn nimepigiwa simu kesho niende kwa mkuu wa gereza
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hivi na form six kumbe wamewachukua aise au ilikuwa form4 tuMh sidhani ila kuna ndugu angu yupo mwanza aliomba kama form six wao wameombea mikoani asema alipopeleka tuu akaambiwa tar 10 aende kwenye usaili ....
Sasa huyu wa taaluma anaesema ameitwa duh sijui..??
Kuna jamaa zangu nao wamepigiwa simu tar 13 ni usahili dodoma msalato
Hivi na form six kumbe wamewachukua aise au ilikuwa form4 tu
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app