Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Waziri ameteleza. Mambo kama yale huwa hayasemwi, huwezi kujisifu kwa kuwatumikisha watu kwa sababu ya uduni wa elimu zao.

Anasema kabisa, huwezi kumwambia division 1 abebe silaha akalinde benki, hii tafsiri yake upolisi ni kazi ya walioshindwa kufaulu vizuri, sio sawa hii.

Anasema ukimchukua aliyefaulu vizuri baada ya muda atataka kusoma na kupanda juu, maana yake wadogo zetu waliopo kule na div 4 zao watakuwa wanabaniwa ili wasisome maana wakiruhusiwa kusoma lengo la jeshi litaharibika.

Upolisi ni kazi kama kazi zingine, Waziri ashauriwe vizuri mambo ya kupeleka public, anawafanya askari wake wadharauliwe na watu, mi binafsi limeniuma sana hili.
 
M binafsi naona waziri yuko sahihi kabisa sio kukatishana tamaa wala nn n katika kuambiana ukwel ukiajili sisi wenye taaluma au ufaulu mzuri baada ya muda utakuta tumeshaweka nyota begani sina ujuzi na mambo ya polisi lakini askari mwenye nyota sizani kama anaweza pangiwa lindo but ukiajiri wenye ufaulu wa chini inamaana huyo mtu hadi aifikie nyota sio Leo kwa hyo ataendelea kupangiwa majukumu ya lindo na kazi zingine ambazo mwenye nyota hatopangiwa
Kwahiyo watumikishwe kutokana na uduni wa elimu zao?
Kama mtazamo Waziri ndio je wadogo zetu na ndugu zetu waliopo huko na elimu zao ni za chini wakiomba kusoma siwanabaniwa ili kulinda maslahi ya jeshi?

Ukumbuke Upolisi ni utumishi wa umma, na moja ya haki za mtumishi ni kuruhusiwa kujiendeleza kitaaluma, kwa mtazamo wa Waziri hiyo haki itapatikana kweli??
 
Ata waliopo jeshini nafikili wao pia wanaelewa sio rahisi kupata nafasi ya kwenda kusoma zaidi upate kwenda kupiga kozi za jeshi pia waziri akuwadharau kajarbu kufafanua kwann waliachwa ndo maana ukiangalia ata nafasi tunazopewa wenye either dipolam or degree n chache sana kulinganisha na za chini sema hatupendi kuambiwa ukweli but ata walioko jeshini wenye elimu ndogo wanatambua fika sio rahisi kuruhusiwa kwenda kupiga kozi nje na za jeshi ndo maana unaweza kuta mtu n form six lakin ana nyota mbili hana ata degree why kozi kapiga kozi za jeshi

Nakumbuka mwaka 2015, wakati tunafanya interview ya kwenda kozi ya millitary science baada ya kumaliza mafunzo ya mujibu baadhi ya private walikuwa wanatuambia kabisa mnaenda kuwa mabosi zetu that means ata wao wanaelewa kilichopo huko jeshini, sina ujuzi sana jeshin nmejarbu kutumia mawazo2
 
Kwahiyo watumikishwe kutokana na uduni wa elimu zao?
Kama mtazamo Waziri ndio je wadogo zetu na ndugu zetu waliopo huko na elimu zao ni za chini wakiomba kusoma siwanabaniwa ili kulinda maslahi ya jeshi?

Ukumbuke Upolisi ni utumishi wa umma, na moja ya haki za mtumishi ni kuruhusiwa kujiendeleza kitaaluma, kwa mtazamo wa Waziri hiyo haki itapatikana kweli??
Kingine cha kusaidiana sio kutumikishwa2 jeshini n Amri2 hakuna ombi kule ata uwe na elimu yako utapewa amri na aliekuzidi cheo so kama hutaki mambo hayo please usiombe kazi za jeshi maana utaenda kuusononesha moyo wako kule n amri mkuu hakuna ombi kama kazi zingine
 
Back
Top Bottom