goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Yeah.Mbona watu wa bendi walichukuliwa na kikosi cha bendi na pilots walichukuliwa na wahusika wa kikosi cha anga kule kurasini tulivyoenda..ina maana hawakufanyiwa usaili? Sifahamu kuhusu divers
Ila ss sielew wale watu watangazo la mwisho kama walikuwa pale kurasini ama laa