Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Rts ngum jmn waacheni wapozwe hvyo
Lakini pia TPDF ni wizara ya mambo ya nje lakini mt,pt,zt,ut hawa wapo wizara ya mambo ya ndani ndo mn hata mishahara ya wizara ya afya na wizara ya elimu IPO tofauti MTU anaenza kazi km mwalimu mwenye degree na MTU anaenza kz km daktari wa degree mishahara tofauti kutokn na wizara husika

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Tpdf wizara ya ulinzi
 
Mambo mengi hayapo sawa kati wa jwtz na PT ila kikubwa uzalendo tu,mukianza kulinganisha hapa hakika kazi ya polisi mtaiona kama takataka tu.Jw wanakula nchi nyie ooh.
Sio wote wanakula nchi kama inavyodhaniwa
 
PDF bado tu mbna ishakuwa kero mishe zetu pia hatufanyi aseee
 
1.Zipo ruhusa maalum za kwenda kusoma,hasa OC wako akiwa muelewa.
2.Kozi za jeshi zinatofautiana ugumu upo kwa mpigaji,kupata kozi hilo ni jambo la kisheria lazima Askari baada ya muda fulani aende kozi fulani japo zipo baadhi ya kozi zenye umaalum watu hupiganisha kuzipata.

Mengine utayajua ukiingia ulingoni.Usiogope kila jambo ni kujipanga.
 
Shukrani mkuu, hofu yangu ilikua ni kukaa muda mrefu katika cheo cha kwanza hiko...kwa form 6 kuna haja ya kusoma degree ili uweze kuwa officer..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…