Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,342
- 2,105
Usicheke chief [emoji23]Hahahaahahahah
Gharama za maisha zimepanda sana, waangalie napo mishahara kwa polisi iendane na hali halisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usicheke chief [emoji23]Hahahaahahahah
We jamaa tafuta hata chalii yako poti akupe lonja huko..
Nusu mshahara ukiwa course ni Tpdf tu
Leta Lonja Ya PDF hahahahaUsicheke chief [emoji23]
Gharama za maisha zimepanda sana, waangalie napo mishahara kwa polisi iendane na hali halisi.
Mimi sina lonja man!Leta Lonja Ya PDF hahahaha
Yes Mapemaa sanaaaMimi sina lonja man!
Ila naamini watatoa
Hahaa, course huwa ni chungu sana boss.Kumbe Jw wanakula maisha [emoji16]
Rts ngum jmn waacheni wapozwe hvyoHahaa, course huwa ni chungu sana boss.
Watu hudata.
Ila wangeboresha na kwa Pt, wote tunajenga taifa moja tu.
Lakini pia TPDF ni wizara ya mambo ya nje lakini mt,pt,zt,ut hawa wapo wizara ya mambo ya ndani ndo mn hata mishahara ya wizara ya afya na wizara ya elimu IPO tofauti MTU anaenza kazi km mwalimu mwenye degree na MTU anaenza kz km daktari wa degree mishahara tofauti kutokn na wizara husikaRts ngum jmn waacheni wapozwe hvyo
Tpdf wizara ya ulinziLakini pia TPDF ni wizara ya mambo ya nje lakini mt,pt,zt,ut hawa wapo wizara ya mambo ya ndani ndo mn hata mishahara ya wizara ya afya na wizara ya elimu IPO tofauti MTU anaenza kazi km mwalimu mwenye degree na MTU anaenza kz km daktari wa degree mishahara tofauti kutokn na wizara husika
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Owk asante kwa kunirekebisha m najuaga ya mambo ya nje kumbe n ya ulinzi nimekupata vizuriTpdf wizara ya ulinzi
SawaWe jamaa tafuta hata chalii yako poti akupe lonja huko..
Nusu mshahara ukiwa course ni Tpdf tu
Haitofautiani sana na JKT nadhani 70k PT.
Hivi recruit wa magereza nae anakula ngapi na hawa watu kozi wanapiga wapHaitofautiani sana na JKT nadhani 70k PT.
Sio wote wanakula nchi kama inavyodhaniwaMambo mengi hayapo sawa kati wa jwtz na PT ila kikubwa uzalendo tu,mukianza kulinganisha hapa hakika kazi ya polisi mtaiona kama takataka tu.Jw wanakula nchi nyie ooh.
Ndiyo ila kuipata utasubiri sana hadi iandikiwe ila utalipwa tu muda wowote.Hamna upigaji kweli?
Eti na mkimaliza course kuna pesa mnapatiwa kama kiinua mgongo au ni stori za vijiweni?
1.Zipo ruhusa maalum za kwenda kusoma,hasa OC wako akiwa muelewa.Wataalam tueleweshane kidogo, Kuhusu suala la kusoma ukiwa umeajiriwa.
1. Kwenda Degree nje ya Jeshi, vipi ugumu wake kuipata hii nafasi na je inasaidia upandaji wa cheo baada ya wewe kuhitimu.?
2. Kwenda Military course yani kozi za ndani ya chombo..VP ugumu wake kupata na hii inaweza kukupeleka cheo kama officer kutoka chini ( mfano Sisi wa form 6)..!?
Mliopo ndani ya chombo au wenye experience na hii kitu msaada tafadhali...Naona uvumi wa kuwepo chances ndogo za kwenda kusoma
Shukrani mkuu, hofu yangu ilikua ni kukaa muda mrefu katika cheo cha kwanza hiko...kwa form 6 kuna haja ya kusoma degree ili uweze kuwa officer..!?1.Zipo ruhusa maalum za kwenda kusoma,hasa OC wako akiwa muelewa.
2.Kozi za jeshi zinatofautiana ugumu upo kwa mpigaji,kupata kozi hilo ni jambo la kisheria lazima Askari baada ya muda fulani aende kozi fulani japo zipo baadhi ya kozi zenye umaalum watu hupiganisha kuzipata.
Mengine utayajua ukiingia ulingoni.Usiogope kila jambo ni kujipanga.
Ushauri.Lazima maisha mengine yaendelee usifungwe na jambo hili,Jeshini as you were ni muda wowote tu.PDF bado tu mbna ishakuwa kero mishe zetu pia hatufanyi aseee