msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Kwa jwtz ili uwe officer lazima usome degree .ukimaliza degree uanze kupambana sasa kupata nafasi ya kwenda TMA Monduli kuitafuta nyota..nasikia mchuano unakua mkali kweli maana saiz bachelor ziko nyingi sana jeshin na hazina vyeoShukrani mkuu, hofu yangu ilikua ni kukaa muda mrefu katika cheo cha kwanza hiko...kwa form 6 kuna haja ya kusoma degree ili uweze kuwa officer..!?
Kusoma ni muhimu hata usipopanda vyeo.Ukipata nafasi wewe soma tu toa mawazo ya kupanda vyeo kwanza ingia uujue mchezo,unaweza kuanzia Corporal au ukapata bahati ukaanzia Sergeant au Ssgt maana wapo walioingia PT 2018 leo ni Sergeant hasa wenye degree.Shukrani mkuu, hofu yangu ilikua ni kukaa muda mrefu katika cheo cha kwanza hiko...kwa form 6 kuna haja ya kusoma degree ili uweze kuwa officer..!?
Hata form 6 wanaenda cadet.Muhimu ufaulu mitihani yao pale Twalipo.Kwa jwtz ili uwe officer lazima usome degree .ukimaliza degree uanze kupambana sasa kupata nafasi ya kwenda TMA Monduli kuitafuta nyota..nasikia mchuano unakua mkali kweli maana saiz bachelor ziko nyingi sana jeshin na hazina vyeo
Na vipi kuhusu kupangiwa vitengo kuna criteria wanangalia au kuna mchujoKusoma ni muhimu hata usipopanda vyeo.Ukipata nafasi wewe soma tu toa mawazo ya kupanda vyeo kwanza ingia uujue mchezo,unaweza kuanzia Corporal au ukapata bahati ukaanzia Sergeant au Ssgt maana wapo walioingia PT 2018 leo ni Sergeant hasa wenye degree.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji13][emoji13][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo mengi hayapo sawa kati wa jwtz na PT ila kikubwa uzalendo tu,mukianza kulinganisha hapa hakika kazi ya polisi mtaiona kama takataka tu.Jw wanakula nchi nyie ooh.
Tupe Lonja ya PT mzeeMT wapo kozi huko ya kupanda vyeo
@mazaga one mbona unausongo sana.. tulia tuu .. soon tutachekiana kitaa cha Moshi...Tupe Lonja ya PT mzee
Hahahahahah we Jamaa bwnaaa@mazaga one mbona unausongo sana.. tulia tuu .. soon tutachekiana kitaa cha Moshi...
Hahahahahah we Jamaa bwnaaa
Swala limesha kuwa gumu mno
Hizo 3200 mchanganyiko.Hizo buku ni Constable tu Acha kuchanganya mambo Mzee.Nenda kwenye matangazo www.polisi.go.tz upande wa nafasi za kazi Utajionea....Unajua, IGP siro alisema kuwa kuna ajira 3200 PT , Lakini waziri wa mambo ya ndani, akasema 1000, hadi muda huu watu wa mkoa hawana lonja yeyote but wako katika hali ya kusubiri that is too bad, pia , magereza wamefanya unfair kabisa , haiwezekani leo ndo iwe deadline ya tangazo then kesho wa tangazo usahili, inamaana kama umetoma maombi normally imekula kwako, na sio EMS
Wengine tunashindwa kutumia mitaji yetu kwenye biashara zetu tukihofia kutupa hela ikachewa kurud alafu pesa ya maandalizi ikawa mtihaniUshauri.Lazima maisha mengine yaendelee usifungwe na jambo hili,Jeshini as you were ni muda wowote tu.
Kwaiyo zitakuwa 4200 ni TPDF au. Acha mihemko bwana mdogo,uliza walio tuma mikoani it's like geresha tu,Hizo 3200 mchanganyiko.Hizo buku ni Constable tu Acha kuchanganya mambo Mzee.Nenda kwenye matangazo www.polisi.go.tz upande wa nafasi za kazi Utajionea....
Kuna vitengo watu wanapambania kweli kweli mf.CID..Na vipi kuhusu kupangiwa vitengo kuna criteria wanangalia au kuna mchujo
nan kakwambia majina yanatumwa makao?Huku mikoani kama itatokea majina wanayotuma makao makuu hayapitiwi yakachunguzwa tena details na vigezo basi tuna ghali tete Sana baba kanituma wengi hawana vigezo hata interview hawajafanya unakutana nao sehemu na sehemu tu ..
Huku ofisi ya kamanda wa polisi mkoa .tuliambiwa majina yatatumwa huko then mtayapata mtandaoni website ya polisi .nan kakwambia majina yanatumwa makao?