Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Shukrani mkuu, hofu yangu ilikua ni kukaa muda mrefu katika cheo cha kwanza hiko...kwa form 6 kuna haja ya kusoma degree ili uweze kuwa officer..!?
Kwa jwtz ili uwe officer lazima usome degree .ukimaliza degree uanze kupambana sasa kupata nafasi ya kwenda TMA Monduli kuitafuta nyota..nasikia mchuano unakua mkali kweli maana saiz bachelor ziko nyingi sana jeshin na hazina vyeo
 
Kusoma ni muhimu hata usipopanda vyeo.Ukipata nafasi wewe soma tu toa mawazo ya kupanda vyeo kwanza ingia uujue mchezo,unaweza kuanzia Corporal au ukapata bahati ukaanzia Sergeant au Ssgt maana wapo walioingia PT 2018 leo ni Sergeant hasa wenye degree.
 
Hata form 6 wanaenda cadet.Muhimu ufaulu mitihani yao pale Twalipo.
 
Kusoma ni muhimu hata usipopanda vyeo.Ukipata nafasi wewe soma tu toa mawazo ya kupanda vyeo kwanza ingia uujue mchezo,unaweza kuanzia Corporal au ukapata bahati ukaanzia Sergeant au Ssgt maana wapo walioingia PT 2018 leo ni Sergeant hasa wenye degree.
Na vipi kuhusu kupangiwa vitengo kuna criteria wanangalia au kuna mchujo
 
Mambo mengi hayapo sawa kati wa jwtz na PT ila kikubwa uzalendo tu,mukianza kulinganisha hapa hakika kazi ya polisi mtaiona kama takataka tu.Jw wanakula nchi nyie ooh.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji13][emoji13][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajua, IGP siro alisema kuwa kuna ajira 3200 PT , Lakini waziri wa mambo ya ndani, akasema 1000, hadi muda huu watu wa mkoa hawana lonja yeyote but wako katika hali ya kusubiri that is too bad, pia , magereza wamefanya unfair kabisa , haiwezekani leo ndo iwe deadline ya tangazo then kesho wa tangazo usahili, inamaana kama umetoma maombi normally imekula kwako, na sio EMS
 
Hizo 3200 mchanganyiko.Hizo buku ni Constable tu Acha kuchanganya mambo Mzee.Nenda kwenye matangazo www.polisi.go.tz upande wa nafasi za kazi Utajionea....
 
Ushauri.Lazima maisha mengine yaendelee usifungwe na jambo hili,Jeshini as you were ni muda wowote tu.
Wengine tunashindwa kutumia mitaji yetu kwenye biashara zetu tukihofia kutupa hela ikachewa kurud alafu pesa ya maandalizi ikawa mtihani
Mambo ya kijeshi ni amri sasa mara jina limetoka unaambiwa wiki moja maandalizi then unatakiwa ufike same wiki hela ipo kwenye biashara ambazo ngumu kusimamiwa hiz biashara za kusafiri safiri mtihani xana
 
Huku mikoani kama itatokea majina wanayotuma makao makuu hayapitiwi yakachunguzwa tena details na vigezo basi tuna ghali tete Sana baba kanituma wengi hawana vigezo hata interview hawajafanya unakutana nao sehemu na sehemu tu ..
 
nan kakwambia majina yanatumwa makao?
 
Back
Top Bottom