Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Apo 173 /30 utapata 5 hivi kwaiyo kila mkoa utapeleka form six watatu hadi watano tu kazi tunayo ***** baba kantuma wameteka idadi tayari
Wewe muda wote unalia na baba kantuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787] pambana mkuu hii nchi ngumu bila connection sio rahisi utoboe yaani.
 
Hadi muda huu kama hujaitwa/pigiwa Simu kuhusiana na mambo ya pt, mT , endelea na michongo yako tu mingine, maana ukwel ni jambo zuri sana, tatizo nikiwekaga post zangu jamaa wanasema mimi naroho mbaya, why ujipe matumaini yasio kuwepo dunia ya kwel, labda kwenye novel and poems
 

1.PT hakuna mambo ya kusubir simu ila tunasubir mkeka wa majina tuu..
2. MT walioitwa ni walioomba wilayani tuu(form 4 )....walioomba makao makuu wanasubir mkeka pia kwa ajili ya usaili
 
Kuna watu waliomba wayback mkoani hadi leo hawajui kinacho endelea still bado wana wish kupigiwa simu, kuna watu majina yamebandikwa kwenye mbao za matangazo mkoani lakin hawajui kuhusu ilo. Kuna watu walipigiwa wakawa hapatikani,
 
Kuna watu waliomba wayback mkoani hadi leo hawajui kinacho endelea still bado wana wish kupigiwa simu, kuna watu majina yamebandikwa kwenye mbao za matangazo mkoani lakin hawajui kuhusu ilo. Kuna watu walipigiwa wakawa hapatikani,
unapotosha watu bro,hamn sehem wamebandik majin hayo tofaut na yale yaliyoitwa kwnye usaili watu tunashinda city centre daily
 
Ndio wengi tu wameitwa pia
Hivi form six magereza wametaka wangapi ? Halafu kwenye lile tangazo walisema wanataka form 4

Ila kwenye jinsi ya kutuma maombi walisema kama unakala ya cheti cha kidato cha sita unatuma sasa

Kule watakuwa acknowledge vipi form six au four ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Ni sentensi tata....lakini mimi nilivyoelewa maybe hio nakala ya 4 au 6.....ni kwa wale wenye diploma ambao walipita pia advance,pamoja na wenye degree...
Lakini nadhani tangazo halikutaka kidato cha sita (kwa nilivoelewa)
 
Ni sentensi tata....lakini mimi nilivyoelewa maybe hio nakala ya 4 au 6.....ni kwa wale wenye diploma ambao walipita pia advance,pamoja na wenye degree...
Lakini nadhani tangazo halikutaka kidato cha sita (kwa nilivoelewa)
Basi watatengwa group la form 4 cheti

cha form six hakitahusika kwa hawa ambao hawana degree wale certificate na diploma

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mchakato wa kutoa mkeka huwa ni wa umakini sana asijekuachwa mtu kimakosa hivyo vijana tulieni,mbivu na mbichi ni mwezi huu huu kwa vyombo vyote vya mambo ya ndani ili mwezi ujao chama la wana nalo lipigishe usaili.

Ila pia kuna uwezekano kozi kuwa mwakani Januari japo mabadiriko ni wakati wowote.
 

Wewe jamaa unavosemaga chama la wana mwezi ujao unanipa matumaini kweli kweli [emoji1]
 
Mzee wa chama la Wana...Mzee wa Lonja,Mzee wa Uzi huu.Vijana Huwa wanakukubali sana ukija ukatoa neno hahahahaha
 
Wakuu habari za wakati huu
M nipo na ishu moja , Kama Kuna mtu anasubir kuitwa PT kwanza amechelewa
Suala lililopo PT sahiv ni majina yaliyopitushwa katika saili mbalimbali mikoani kwa upande wa 4m 4 na 4m 6 na kwa walioombea professionals mbalimbali kwa ngazi tofauti Kama ilivo ainishwa kulingana na uhitaji wa tangazo elekezi
Hivyo kwa walioombea kidato cha nne na sita kama ulipita hadi hatua ya mwisho ya usaili majina yametumwa makao makuu ili kuweka majumuishi kwa mikoa yote na kutoa mkeka mmoja
Na kila mkoa ulipewa idadi ya watu kulingana na factor zifuatazo
1)Idadi ya waombaji wenye sifa
2)Idadi ya vikosi vya JKT vilivyopo kwenye mkoa huo

Naruhusu kukoselewa .Asanten
 
Naomba kuuliza hivi wakubwa wa jeshini huwa wanapewa nafasi zao kwl za kuleta watu wao he uwa ni idadi ngap? Mfano TPDF wao huanzia na wakubwa gani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…