mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Haya mambo nadhani sio ya muhimu Kwa Sasa kuyajadili na hayana Afya kwenye huu Uzi asee! Ni mtazamo wangu lakiniNaomba kuuliza hivi wakubwa wa jeshini huwa wanapewa nafasi zao kwl za kuleta watu wao he uwa ni idadi ngap? Mfano TPDF wao huanzia na wakubwa gani???
Unakwama wapi wewe nenda dodoma kwa RPC utaona janjaunapotosha watu bro,hamn sehem wamebandik majin hayo tofaut na yale yaliyoitwa kwnye usaili watu tunashinda city centre daily
Lonja yenye afya [emoji120]Mchakato wa kutoa mkeka huwa ni wa umakini sana asijekuachwa mtu kimakosa hivyo vijana tulieni,mbivu na mbichi ni mwezi huu huu kwa vyombo vyote vya mambo ya ndani ili mwezi ujao chama la wana nalo lipigishe usaili.
Ila pia kuna uwezekano kozi kuwa mwakani Januari japo mabadiriko ni wakati wowote.
Lonja muhimu ..bless sanaWakuu habari za wakati huu
M nipo na ishu moja , Kama Kuna mtu anasubir kuitwa PT kwanza amechelewa
Suala lililopo PT sahiv ni majina yaliyopitushwa katika saili mbalimbali mikoani kwa upande wa 4m 4 na 4m 6 na kwa walioombea professionals mbalimbali kwa ngazi tofauti Kama ilivo ainishwa kulingana na uhitaji wa tangazo elekezi
Hivyo kwa walioombea kidato cha nne na sita kama ulipita hadi hatua ya mwisho ya usaili majina yametumwa makao makuu ili kuweka majumuishi kwa mikoa yote na kutoa mkeka mmoja
Na kila mkoa ulipewa idadi ya watu kulingana na factor zifuatazo
1)Idadi ya waombaji wenye sifa
2)Idadi ya vikosi vya JKT vilivyopo kwenye mkoa huo
Naruhusu kukoselewa .Asanten
Punguza moto kijana na uwe na subira hizi taasisi znataratibu zake kama umefanya usaili subiri kama wa kupata utapatKuna watu waliomba wayback mkoani hadi leo hawajui kinacho endelea still bado wana wish kupigiwa simu, kuna watu majina yamebandikwa kwenye mbao za matangazo mkoani lakin hawajui kuhusu ilo. Kuna watu walipigiwa wakawa hapatikani,
Subiria Kanali msemaji wa chombo kama akisema kuna nafasi wakubwa hupewa basi utapata jibu,au sogea pale NGOME ukawaulize..Naomba kuuliza hivi wakubwa wa jeshini huwa wanapewa nafasi zao kwl za kuleta watu wao he uwa ni idadi ngap? Mfano TPDF wao huanzia na wakubwa gani???
Wanadai mwaka huu haki inatendeka hkn cha ukubwa wala nin cjui km kweliSubiria Kanali msemaji wa chombo kama akisema kuna nafasi wakubwa hupewa basi utapata jibu,au sogea pale NGOME ukawaulize..
[emoji38][emoji38]
Mkubwa ni mkubwa tu kijana wewe elewa hivyo tu.
Hii kauli ipo miaka mingi sana ila mkubwa ni mkubwa tu na hashindwi kuweka watu wake ,[emoji3]Wanadai mwaka huu haki inatendeka hkn cha ukubwa wala nin cjui km kweli
Daah ko tuseme wao wakubwa wana mamlaka kuliko ht rais samia hahaha kwenye HV vyomboHii kauli ipo miaka mingi sana ila mkubwa ni mkubwa tu na hashindwi kuweka watu wake ,[emoji3]
Baba kanituma watakuwepo tu na wataendelea kuwepo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kudadeki maisha haya ndo mn baba kanituma hata usaili hawafanyagi ynRais hawez kumonitor kila sehemu......ana kazi nyingi na za muhimu zaid kuliko kufatilia hizo ajira zinatolewa kwa kina nani....hayo mambo yapo tu...hata wewe ukiwa kwenye hizo position na una ndugu/mtt anahangaika mtaani bila ajira maalumu, utamvuta tu [emoji16]
Ohoo mwambie huyo mkuu tunaoandika barua ni sisi watoto wa ndege [emoji3] ndio utakuta tumejazana posta kutuma barua au kwenye maofisi wilayani tumejazana kama mchwa kufanya usailiRais hawez kumonitor kila sehemu......ana kazi nyingi na za muhimu zaid kuliko kufatilia hizo ajira zinatolewa kwa kina nani....hayo mambo yapo tu...hata wewe ukiwa kwenye hizo position na una ndugu/mtt anahangaika mtaani bila ajira maalumu, utamvuta tu [emoji16]
Jitahidi na wewe sasa uhingie kwenye system ili wana waje kuvimba kwa sababu yakoKudadeki maisha haya ndo mn baba kanituma hata usaili hawafanyagi yn
We jamaa msenge sana punguza ujuaji basi.Kuna watu waliomba wayback mkoani hadi leo hawajui kinacho endelea still bado wana wish kupigiwa simu, kuna watu majina yamebandikwa kwenye mbao za matangazo mkoani lakin hawajui kuhusu ilo. Kuna watu walipigiwa wakawa hapatikani,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3577]Kwa akili yako kabisa unafikiri hivi vitu vinakuwa wazi kwa namna unayowaza wewe? Hebu wakati mwingine jiulize kama hicho unachokiongea hapa kipo kisheria mpaka kuwa wazi hivyo au la? Sometime jitahid kuw na logical thinking brother.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa msenge sana punguza ujuaji basi.
Hahahhhah ahaah watu wamechokaWatu naona Leo wamevurugwa humu ndani hahahahaha
Hahahhhah ahaah watu wamechoka
Baba K wapo hadi kwa wazee wa Makumbusho Kaunda sembuse chama la wana?Wanadai mwaka huu haki inatendeka hkn cha ukubwa wala nin cjui km kweli