Wakuu habari za wakati huu
M nipo na ishu moja , Kama Kuna mtu anasubir kuitwa PT kwanza amechelewa
Suala lililopo PT sahiv ni majina yaliyopitushwa katika saili mbalimbali mikoani kwa upande wa 4m 4 na 4m 6 na kwa walioombea professionals mbalimbali kwa ngazi tofauti Kama ilivo ainishwa kulingana na uhitaji wa tangazo elekezi
Hivyo kwa walioombea kidato cha nne na sita kama ulipita hadi hatua ya mwisho ya usaili majina yametumwa makao makuu ili kuweka majumuishi kwa mikoa yote na kutoa mkeka mmoja
Na kila mkoa ulipewa idadi ya watu kulingana na factor zifuatazo
1)Idadi ya waombaji wenye sifa
2)Idadi ya vikosi vya JKT vilivyopo kwenye mkoa huo
Naruhusu kukoselewa .Asanten