Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Kama umetoa hela yoyote kwaajili ya hizi nafas ujue Kuna uwezekano mkubwa wa kukosa kabisa otherwise uwe na vigezo vyote vngnevyo umetapeliwa tayariHaiwezekan kuna watu wana uhakika hafu wengine hatuna uhakika mfano mimi gharama kibao nimetumia.....
Sema wadau mkipata mtoe mrejesho ili tujue kuwa wengine hatukuwa na bahati tu.
Wenye vigezo wanazingatiwa zaid kuliko wanao honga