Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Haiwezekan kuna watu wana uhakika hafu wengine hatuna uhakika mfano mimi gharama kibao nimetumia.....


Sema wadau mkipata mtoe mrejesho ili tujue kuwa wengine hatukuwa na bahati tu.
Kama umetoa hela yoyote kwaajili ya hizi nafas ujue Kuna uwezekano mkubwa wa kukosa kabisa otherwise uwe na vigezo vyote vngnevyo umetapeliwa tayari
Wenye vigezo wanazingatiwa zaid kuliko wanao honga
 
Wakubwa nakumbusha tusilalamike sana.
Kama tushatuma maombi cha msingi apa ni kushona na kutulia tusubiri yajayo
Ajira za kwenye majeshi huwa majina hayatolewi haraka yanaweza kumaliza hata mwezi na yakitolewa bas ujue na maelekezo ya kuripot vyuo vya kijesh yanatolewa hapohapo unakua hauna hata wiki ya kujiandaa vzuri unakua taye upo chin yao tayar unaanza kufata amri, inawezekana mkeka upo tayar ila hawautoi had wahakikishe vyuo vyao vina nafas na kama kuna kozi zinaendelea ztamalizwa kwanza ndo majina yatoke

Nafikiri huwa hawatoi majina mapema na kuwaacha muda mrefu mtaani ili wasije kupandikizwa watu ndan ya hayo majeshi ndo maana unaweza ukafanya usail sahiv majibu yakachelewa sana kutoka na yakitoka tu hapohapo unatakiwa uripot.
Safar hii nafas za ajira zipo nyingi sana watu waanze kujiandaa mapema muda wowote wataitwa
 
Kama umetoa hela yoyote kwaajili ya hizi nafas ujue Kuna uwezekano mkubwa wa kukosa kabisa otherwise uwe na vigezo vyote vngnevyo umetapeliwa tayari
Wenye vigezo wanazingatiwa zaid kuliko wanao honga
We unawaza rushwa tu wapi nimesema nimehonga???

Hapo nimezungumzia gharama za kutuma maombi dogo.
 
Wakati wa usaili niliongea na POT mmoja pale kilwa akanipa lonja kuwa CCP inameza mpaka kurutu 5000+ ni chuo cha kimataifa kinachohudumia POT pamoja na nchi jirani.
Na ww ulikuwepo kwenye usahili kumbe
 
Napitia huu uzi kwa umakini mkubwa nagundua watu wengi wanapenda kuwa Polisi licha ya kuwatukana Polisi kila siku.

Mnasemaga Polisi hawana akili mara hawajielewi, wala rushwa, waonevu mbona huu uzi hauzungumzii hayo?

Nyam.bafu nyie mlidhani wao wanapenda uovu, inatokea tu jinsi utawala bora unavyoharibiwa na watawala ilihali wao wana viapo vyao
 
Dah nimecheka sanq
Umepitia uzi kwa umakini sana
Napia umeandika hii comment kwa uchungu sana 🤣🤣😂😁😁😁😀
 
Watu wanataka ajira sio kama wanaupenda u polisi..
 
Hizi kazi na za kizalendo.Vijana mkiingia huko na kuwaza mavyeo na Madaraka mtaumia Kila siku.Kazi za Vyombo vya Ulinzi na usalama ni za kujitoa Kwa ajili ya Watu.Uzalendo kwanza Maslahi Baadae ama yanaweza yasiwepo kabisa.Sifa ya Askari ni kiapo na Uzalendo.Waaaaaziiiii Vijana wenzangu
 
Wazi afande..........

Sema nchi hii siasa nying ndo maana watu tunapoteza uzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…