Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Huo ndiyo ukweli,wewe ni Askari unaogopa lindo?

Na hii ni moja ya sababu ya wasomi kutokupewa kipaumbele kwenye nafasi za ajira maana mko too selective sana na nidhamu ya kijeshi huwa haiwaingii vizuri hata mfungiwe jeshini miaka mingi.
Asante kwa jibu mkuu, swali lingine, vijana ambao watafanikiwa kuchaguliwa na kwenda mafunzoni, wakati wa mafunzo watakuw wanapewa posho kama wale ambao wanaendaga jkt au kwenye mafunzo huko ya polisi hamna posho?
 
Hivi majina ya wenye fani kuanzia certificate, diploma na degree bado tu kuitwa?
 
Hizi nafasi kama huna mtu wa kukusimamia sizani kama unaweza pata hata kama una CV tamu sana zinagombaniwa kama dhahabu.

Duh yan hata mimi nashangaaa nafasi zilizotangazwa kwa taaluma ni chache lakini hadi leo hii majina hayajatoka tuu...[emoji780][emoji780]
 
Hizi nafasi kama huna mtu wa kukusimamia sizani kama unaweza pata hata kama una CV tamu sana zinagombaniwa kama dhahabu.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]

Refer 20... Jamaa yangu wa karibu hakupitia popote SEMA kipindi Cha Jk

Mt wangu wa karibu ALIKUWA na ukaribu na boss Ccp kipindi hicho ni simu tuuu iliita nikasikia majina yake akareport kambini

Jamaa kamaliza kozi kaenda miaka kadhaa mkoa x kaingia Kwa ulevi kazi OUT na vyeti ALIKUWA navyo
 
Kwani mkuu askari hawaruhusiwi kunywa pombe..
 
Najua anataga Hint alilewa akatia silaha vibaya

Story za undani sijui

Japo jamaa ananyota na mademu inasemekana Ali Mt......
Mtoto wa mkuu wa kituo(mmama)

Dooh [emoji849][emoji849] sawasawa
 
Ila wamekaa sana kutoa majina..?duh[emoji849]
Idadi kubwa ya vijana maombi yamesitishwa 18/09/21 juma mosi alafu watoe majina leo jumatatu, kids fikiria twice, uchambuzi wakina unafanyika , kama huna vigezo , lazima uwe na mbanga, mwenye mkasi na nyota moja polisi ndo utapenya la si ivyo, your disqualify son, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , see you on the other side ..
 
Back
Top Bottom