Sasa hizi zilizotoka si za wenye fani?Omba hizi usijipe sana uhakika.
Au we umesikia kwa Mh.G.S au Samia ndo kasema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hizi zilizotoka si za wenye fani?Omba hizi usijipe sana uhakika.
Au we umesikia kwa Mh.G.S au Samia ndo kasema?
Ingia kwenye website ya wizara ya mambo ya ndani utaona hyo taarifaOmba hizi usijipe sana uhakika.
Au we umesikia kwa Mh.G.S au Samia ndo kasema?
Mmh! Hi imenipita, wametangaza lini?Ingia kwenye website ya wizara ya mambo ya ndani utaona hyo taarifa
Kama uliomba kwa IGP, angalia jina lako tovuti ya jeshi la polisi.Sasa hizi zilizotoka si za wenye fani?
Hahaa, bila shaka utakua njagu wewe, mitaa yao hiyo[emoji23][emoji23]..Wazalendo naona mnakula utawala mitaa ya shanty town, wengine sijui wameenda Alberto?
Maana si kwa kupoa huku, kikosi kimedorola hakina Lonjaaa.
Hahahahah tupeni lonja mapot
Hivi kwenye usaili lazima kutoa nguo kama jkt [emoji849][emoji849][emoji849]
Hakikisha unafua boxa na kunyoa mkuu, usiende na msituHivi kwenye usaili lazima kutoa nguo kama jkt [emoji849][emoji849][emoji849]
Marinda lazima yaangaliwe mkuu na ukohoe kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakikisha unafua boxa na kunyoa mkuu, usiende na msitu
Habarini Wakuu!
Hongereni sana kwa harakati hizi za kutafuta namna ya kujiunga na jeshi letu la Polisi. Nina maswali kadhaa naomba mnijuze;
1. Hizi nafasi walizotangaza kwa mara ya pili, je kwa kijana aliyemaliza shahada yako miaka 10 iliyopita anaweza akaziomba ?
2. Je mtu anaweza kwenda kwenye usaili akiwa na ndevu (kama zile za wa Taliban) au sharti uzinyoe kwanza hata kama huna uhakika wa kupata au kutopata nafasi ?
Wakuu niliitwa kwenye usaili shahada kesho kwa upande wa afya Ila pia Kuna pande amblo lina maslahi zaidi nimepata inabidi nipige chini upolisi nikasaini mkataba next week, mtakao enda niwatakie kila la kheri kokote kambi.
Hahahahaha safi sana mkuu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]KWA KUOUNGUZA IDADI[emoji120][emoji120]
Ninavojua mimi...
1.issue ni miaka tuu kama upo ndani ya range ya miaka wanayoihitaji sawa.
2.NYOA NDEVU BOSS.
1. Miaka ina range from 30 to 35, je kutakuwa na uwezekano wa kupata nafasi ?
2. Zkiachwa itakuwa na shida gani, kwani hakuna askari mwenye ndevu huko majeshini ?
1. Miaka ina range from 30 to 35, je kutakuwa na uwezekano wa kupata nafasi ?
2. Zkiachwa itakuwa na shida gani, kwani hakuna askari mwenye ndevu huko majeshini ?
Wala siyo vigezo ni vile wanatumia undugu kutoa ajira , hilo tangazo ni kuchemsha watu huku selection ishamalizika kijanja.DC tangazo linataka Jkt alafu unaniambia kama Nina vigezo wakati hapo tayari mchujo, hii Nchi bhana tabu tupu double standard daily au huko MG tulipewa mafunzo na raia?
Mkuu Usidanganye alaiki,sifa yakupata vyeo vya kiafisa vya polisi:elimu(kuanzia degree),nidhamu(usiwe na mashitaka)+utendaji kazi mzuri(weledi).yaani ww unawaza uafisa !! polisi hawaangalii elimu hata kidogo