methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Mkuu unamaanisha nini sijakuelewa yaanmkuu tiss huingii kirahisi hivo. unapigwa vetting ya kutosha then aliyeko ndani mybe aku recommend. hawachukui kma tunavpfaitia uhamiaji na polisi saizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unamaanisha nini sijakuelewa yaanmkuu tiss huingii kirahisi hivo. unapigwa vetting ya kutosha then aliyeko ndani mybe aku recommend. hawachukui kma tunavpfaitia uhamiaji na polisi saizi.
walikusanywa makutupora sema wengi sana walkua wanarudishwa uraian kutokana na nidhamu na makosa madg madg walivokua wazalendo,Walipita mwaka huu. Kuna washkaj walichukuliwa mwezi wa sita hivi. Hivi bado hawajaanza course?
tiss wana hakiki taarifa zako binafsi,historia yenu,makosa ya kiuharifu ,uraia then wakijiridhisha unaingia chomboni. ndio maana mlolongo wa kupata hio kazi ni ngumu . zamani walikua wanachukua kupitia jkt pia lkn sasa wanachukua kupitia tiss aliyeko ndani akufanyie background check na vetting ya kutosha then ndipo utaitwa chomboni. pia ukiwa tyari una ajira wakiona una potential kwao wanaita kuita chomboni wakutumie. ndio maana kuna tiss kila idara za umma utawakuta mashuleni, Bank, uhamiaji,polisi, tpa NkMkuu unamaanisha nini sijakuelewa yaan
Daaah hapo nimekuelewa asee kweli kipengeretiss wana hakiki taarifa zako binafsi,historia yenu,makosa ya kiuharifu ,uraia then wakijiridhisha unaingia chomboni. ndio maana mlolongo wa kupata hio kazi ni ngumu . zamani walikua wanachukua kupitia jkt pia lkn sasa wanachukua kupitia tiss aliyeko ndani akufanyie background check na vetting ya kutosha then ndipo utaitwa chomboni. pia ukiwa tyari una ajira wakiona una potential kwao wanaita kuita chomboni wakutumie. ndio maana kuna tiss kila idara za umma utawakuta mashuleni, Bank, uhamiaji,polisi, tpa Nk
so poa mkuu .ila kama una ndugu huko anaweza kukuingiza kirahisi coz nimiongoni mwa criteria yao wanakuwa tayari hawana dauti na ww kuhusu background yako. mm pia nimewahi kujaribu kuulizia moja ya mkuu wangu . na nasikia mshahara tiss sio mkubwa sana ila posho ni heavy mkuu wanguDaaah hapo nimekuelewa asee kweli kipengere
mfano makosa gani yanaweza pelekea kufukuzwaDah asee ukienda ccp ufate sheria tu umalize. Kuna dogo alizingua akafukuzwa anataka ajaribu majeshi mengine huku sijui kama atatoboa shida ni zile fingerprints zikishachukuliwa mtihani sana.
Kiukweli sina mkuu ndugu hata mmoja asee daah ndio kipengere kilipo maana hzi mambo kama ukiws hauna mtu wa kukushika mkono daah ni mtihani kuna manzi mmoja hv nilikuwa nae mtabila asee mwezi kama ulioisha nimemuona kwenye kaunda suti na muheshimiwa daahso poa mkuu .ila kama una ndugu huko anaweza kukuingiza kirahisi coz nimiongoni mwa criteria yao wanakuwa tayari hawana dauti na ww kuhusu background yako. mm pia nimewahi kujaribu kuulizia moja ya mkuu wangu . na nasikia mshahara tiss sio mkubwa sana ila posho ni heavy mkuu wangu
Wale wa makutupora sio kwamba walimaliza?walikusanywa makutupora sema wengi sana walkua wanarudishwa uraian kutokana na nidhamu na makosa madg madg walivokua wazalendo,
sahv wapo rts nahisi wataanza course na hawa military science
mcheki huyo dada akupe muongozoKiukweli sina mkuu ndugu hata mmoja asee daah ndio kipengere kilipo maana hzi mambo kama ukiws hauna mtu wa kukushika mkono daah ni mtihani kuna manzi mmoja hv nilikuwa nae mtabila asee mwezi kama ulioisha nimemuona kwenye kaunda suti na muheshimiwa daah
hapana mpka unafkia mwezi wa nane bado walkua wazalendoWale wa makutupora sio kwamba walimaliza?
Sina mawasiliano nae kabisa mkuumcheki huyo dada akupe muongozo
pamoja mkuuSina mawasiliano nae kabisa mkuu
Poapoapamoja mkuu
Dah asee ukienda ccp ufate sheria tu umalize. Kuna dogo alizingua akafukuzwa anataka ajaribu majeshi mengine huku sijui kama atatoboa shida ni zile fingerprints zikishachukuliwa mtihani sana.
Duuuh nyama nyingi kifuani unfit tena?Alifanya kosa gani?
Kuna jamaa mmoja alirudishwa nilivyomuuliza akasema eti ana nyama nyingi kifuani wamemuona yupo unfit..kumbuka hpo amemaliza kma miezi miwili
Wakuu ,majibu TafadhaliWakuu ,vipi kwa sisi tuliopitia kozi za mafunzo ya kijeshi jeshi usu la uhifadhi ktk vyuo vya pasiansi na mweka tunaweza kuomba uhamiaj na polisi pia
Simu mkuuAlifanya kosa gani?
Kuna jamaa mmoja alirudishwa nilivyomuuliza akasema eti ana nyama nyingi kifuani wamemuona yupo unfit..kumbuka hpo amemaliza kma miezi miwili
Atakua alinipiga kamba aiseDuuuh nyama nyingi kifuani unfit tena?