Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wewe usikate tamaa mwambie ampange, Kuna private mmoja nilikua naiva nae sana mtaani alinisimulia bi mkubwa wake ni rafiki na kanali mmoja wa kike lkn. Private alinambia ye aliongea na uyo kanali mara Moja tu kupitia bi mkubwa wake akapewa maelekezo ya kwenda kwenye usaili akaambiwa ukikutana na changamoto piga simu nipe nizungumze na huyo muhusika. Kweli Jamaa alipoona haelew kwenye usahili akatoa simu akamvutia waya kanali kanali akaongea nao kijana akakabidhiwa kwa mtu mpk mwisho wa usahili siku majina yanatoka nayeye yumo, akapiga simu kutoa shukran kwa kanali akaambiwa wahi kambini. 😂😂😂Private anasema alikaa chomboni karibu miaka minne ndo yule kanali akamuita wafahamiane. Sasa kama kanali alikua anavuta waya tu sembuse Luten General
Tatzo alivyoniambia yeye kwamba amekuwa balozi nchini msumbiji sasa itakuwa ngumu kidogo kumtafuta kwa alivyoniambia
 
Wewe usikate tamaa mwambie ampange, Kuna private mmoja nilikua naiva nae sana mtaani alinisimulia bi mkubwa wake ni rafiki na kanali mmoja wa kike lkn. Private alinambia ye aliongea na uyo kanali mara Moja tu kupitia bi mkubwa wake akapewa maelekezo ya kwenda kwenye usaili akaambiwa ukikutana na changamoto piga simu nipe nizungumze na huyo muhusika. Kweli Jamaa alipoona haelew kwenye usahili akatoa simu akamvutia waya kanali kanali akaongea nao kijana akakabidhiwa kwa mtu mpk mwisho wa usahili siku majina yanatoka nayeye yumo, akapiga simu kutoa shukran kwa kanali akaambiwa wahi kambini. 😂😂😂Private anasema alikaa chomboni karibu miaka minne ndo yule kanali akamuita wafahamiane. Sasa kama kanali alikua anavuta waya tu sembuse Luten General
Sasa sijajua huyo mbanga kuwepo nchini msumbiji ndio haiwezekani kuwasiliana nae au jamaaa angu huyu hataki kwahyo nipo njia panda tu
 
Huyu mbanga sijawasiliana nae na wala smjui, ila anaejuana nae ni huyu om boy wangu asa hv private, ndo kaniambia huyu mzee kumtafuta kwa sasa ni ngumu maana yupo nchini msumbiji kama balozi, ndo nimebaki kimya tu au sijajua kama jamaa ananikazia au vp
 
Majukum yao zaidi ni yapi ??
Nadhani miaka ya nyuma hawa kazi yao kuu ilikuwa ni kusindikiza mishahara kabla ya maboresho kama unakumbuka kuna mwaka fulani ulitokea mtanange mkali kati ya wajeda na majambazi

Wajeda walikuwa wanasafirisha mishahara from dar to moro zikapigwa shaba zaidi ya masaa 3 (pongezi kwa majambazi wale walionesha uwezo mkubwa saana wa mapambano)

Hicho kitengo now kipo chini ya logistics and supply (mwaka jana hao jamaa wa transports walitaka kusafirisha baruti bila kibali chochote cha jeshi walitinga kibirizi wakapiga mkwara maafisa wote wa TPA....pongezi kwa askari wa SUMA ambae alimpigia mkuu wake akatinga na RPC)
 
nshawah kwenda ngome msalato nkakutana na mzee mmoja anatoka getin hakuvaa gwanda alikua kiraia akanambia mbona nishachelewa maana ilibak wiki oljoro waanze kozi,but kuna mwamba alinidaka akaniuliza why nazurula maeneo ya pale nikamuonesha kitambulisho,akaniambia kula utawala
Nitafanya ivoo.
 
Haijawahi kuwa raisi utoke kitaa uingie jw labda uwe na mbuyu mkubwa
Inawezekana na ni very simple from kitaa to MSATA

Sehemu ngumu kuingia bila sifa ni tiss (nimeshuudia kwa macho yangu jamaa wa ikulu akimpuna RPC milioni moja ili mtoto wake aingie chomboni na ikashindikana

•Nina shemeji yangu pia aliwai kunitafutia hizo nafasi pamoja kuwa ni kitengo lkn wap kila tukijaribu tunakuta nafasi zipo ila zina maelekezo ya aina ya mtu wanaemtaka ...sijui kwann niliacha kusoma kifaransa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24])

Jamaa wa ikulu nikikosa hizi nafasi naweka utambulisho wake wazi kabisa
 
Hivi kanali mkisi yukogo wapi ,Siku hizi nakumbuka aliteuliwa uDc kipindi flani kigoma ,tupe mkasa pia wa nn kilimtokea hko kigoma
Hata sijui huyo bilionea alipo now ila kwa kifupi ni kuwa wajeda wenzake walikuwa wanamuonea wivu so mwamba kapigiwa fitina saana nadhani now ingetakiwa awe hata meja general

Kwa upande wa waha alileta ubabe wa kijeshi umoja wa wachawi wa kasulu wakawa wanamlaza nje analala ndani akiamka asubuhi anajikuta nje akaona makubwa cha kufia nini akatema uDC (ikaonekana kagomea amri halali ya amiri jeshi mkuu tena Jiwe mr siambiliki wa chato .....)
 
Daaaah homeboy wangu mmoja nilikuwa nae kigoma na turirudi wote om sasa hv kauvaaa mshati, nimejaribu kumcheki jana kuhusu mbanga wake akasema atanicheki, leo kanicheki kaniambia ule mbanga asee umeenda zambia kuwa balozi, arafu alikuwa anaelewana nae sana na ndo alimpiganiia luteni general, daah kwa sasa nimechoka na kuishiwa nguvu maana ndio hvyo hayupo
Kuna mtoto wa barozi wetu wa Rwanda dingi yake alikuwa ni mnene jeshini kama una mbinu za kimedani nikuunganishe na huyo mtoto ni she nimesoma nae chuo uchonge nae utembelee connection zake zilizopo huku(for ur own risk ukipunwa utajijua)

Nimeota nimemchoma mkuki jamaa wa ikulu
 
Makamanda habari zenu,
Kwa muda sana nimekuwa mfatiliaji wa huu uzi, nimegundua kuna watu wanafahamu mambo mengi sana na kuna wengine hawafaham kabisa. Nilichopendea hii thread ni ushirikiano mlionao.

Nachoweza kukazia ni kuwa tafuta connection bila kuchoka huku ukimwomba Mungu wako.

Mimi ninavisa viwili nimekutana navyo katika harakati ya kuingia jeshini. Cha kwanza ilikuwa 2018 nilifanyiwa mpango wa kuingia TPDF kutokea uraiani. Mambo yalinyooka lakini uncle Magu akatibua, yani alikataa mtu kuingia chomboni akiwa anatokea uraiani. Kwa kuwa nilikuwa kwenye hatua za mwisho ilibidi nisitishe hilo zoezi na kuendelea na ratiba nyingine. Pia kipindi hicho, kuna watu 12 walichomolewa jeshini kwakuwa nao waliingia kimchongo.

Kisa cha pili ilikuwa 2019, nilisikia kuna saili za kuingia JKT, kwa kuwa nilikuwa ninacheti cha Mujibu nilisema liwalo na liwe, niende JKT nikajitolee ili iwe rahisi kupata chance ya kuingia TPDF maana magu alikaza sana wakati ule. Kuna ndugu yangu mkoa fulani alikuwa anacheo kikubwa PCCB, nilimshirikisha na akaniahidi kunisaidia niingie JKT kwani kwenye usaili angekuwepo.

Aliniambia niandae vyeti vyangu lakini cha JKT nisikiweke then nisafiri kwenda huko mkoani. Nikiwa njiani alinipigia simu kuwa amepata dharura anaenda Dodoma ameitwa kwa dharura. Alinipa maelekezo ya namna ya kufika kwake, nilifanikiwa kufika na sikukuta mtu kwani funguo nilipewa na jirani aliyekuwa ameachiwa maelekezo. Baadae huyo ndugu yangu aliniambia kuna mtu mwingine anatoka dsm kuja kuungana na mimi hivyo tutakuwa wawili. Basi jamaa alifika usiku sana nikampokea. Asubuhi tulijiandaa na mwana tukaelekea uwanja wa vita, aisee acheni. CONNECTION INASAUTI.

Tulienda direct kwa mshauri wa mgambo, akauliza, nyinyi ndio vijana wa X, tukajibu ndio. Akachukua vyeti vyetu then akasema tukajiunge na wenzetu nje tusubiri maelekezo.

Kufupisha story ni kuwa siku iliyofuata watu wa degree tulikuwa watano, wakiume wanne na wakike mmoja. Tulipigwa KO wakiume wote na siku hiyo wakaingizwa wengine kuziba nafasi zetu.

Hiyo siku sikula kabisa maana sikuamini kama yaliyotokea kule ilikuwa ni ndoto au kweli. Tulimpigia ndugu yetu kumweleza yaliyotokea, alishangaa sana maana alidai maelekezo yote aliyaacha ofisini. Mwisho alidai tusiondoke tumsubiri arudi ili aje apambane na hao aĺiowaachia maelekezo kwani alidai itakuwa wamekula rushwa.

Connection inasaidia sana makamanda
 
ikawaje mkuu
 
CONNECTION NYINGINE:
Kuna mshikaji wangu tumesoma wote chuo. Yeye alikuwa anayo connection ya magereza. Mwaka juzi/jana zile nafasi zilitoka nyingi nyingi kama mnakumbuka. Alinipigia simu akanambia tuombe, me nikasema huko sipaelewi. Yeye aliomba za form 4 na zile za profession.

Alianza kuitwa kwenye usaili wa zile za form 4, akapigwa KO(knock out) kwakuwa alikuwa na ufaulu mzuri na wao walitaka wale failure. Baadae akaitwa Dodoma kwenye wale wa profession, aisee jamaa anaconnection kubwa sana nahisi, alitumiwa paper ambayo alienda kuikuta siku ya written huko Dodoma. Alinilaumu sana kwanini sikuomba maana tungepita bila shida. Kwa kada yake walipata watu wawili tu na wote walikuwa na marks za juu. Amemaliza course mwaka jana mwezi wa 6.

Mungu ni mwema sana, wapo watakaotoboa bila connection, tena watakuwa wengi sana
 
jah bless us champ,so upo chomboni?
 
Hata sijui huyo bilionea alipo now ila kwa kifupi ni kuwa wajeda wenzake walikuwa wanamuonea wivu so mwamba kapigiwa fitina saana nadhani now ingetakiwa awe hata meja general

Kwa upande wa waha alileta ubabe wa kijeshi umoja wa wachawi wa kasulu wakawa wanamlaza nje analala ndani akiamka asubuhi anajikuta nje akaona makubwa cha kufia nini akatema uDC (ikaonekana kagomea amri halali ya amiri jeshi mkuu tena Jiwe mr siambiliki wa chato .....)
Kumbe ,ameshakuwa na bilionea yuko wapi kwa sasa makao makuu au kambini ila ni mtu smart sana jamaa
 
Wewe usikate tamaa mwambie ampange, Kuna private mmoja nilikua naiva nae sana mtaani alinisimulia bi mkubwa wake ni rafiki na kanali mmoja wa kike lkn. Private alinambia ye aliongea na uyo kanali mara Moja tu kupitia bi mkubwa wake akapewa maelekezo ya kwenda kwenye usaili akaambiwa ukikutana na changamoto piga simu nipe nizungumze na huyo muhusika. Kweli Jamaa alipoona haelew kwenye usahili akatoa simu akamvutia waya kanali kanali akaongea nao kijana akakabidhiwa kwa mtu mpk mwisho wa usahili siku majina yanatoka nayeye yumo, akapiga simu kutoa shukran kwa kanali akaambiwa wahi kambini. 😂😂😂Private anasema alikaa chomboni karibu miaka minne ndo yule kanali akamuita wafahamiane. Sasa kama kanali alikua anavuta waya tu sembuse Luten General
Asee Mungu asaidie tu
 
Back
Top Bottom