Toofast
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 522
- 942
asante kwa ushauriVingine Kaka ,jifunze kukaa kimya halafu wafikishie wahusika wkt muafika ukifika sio vya kuweka kwny hadhira wanaweza kuku maki na kukuondoa kwny list yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante kwa ushauriVingine Kaka ,jifunze kukaa kimya halafu wafikishie wahusika wkt muafika ukifika sio vya kuweka kwny hadhira wanaweza kuku maki na kukuondoa kwny list yao
wewe jamaa inaonekana upo smart Sana upstairUsimuogopeshe ni kitu cha kawaida tu hicho. Ni error tu imetokea na still amesomea kitu ambacho bado kinamfanya kuwepo kikosi cha dogs and horse.
asante mkuuUpo sama bado, hata usiwe na shaka.. wakuu watalishughulikia huko huko ukifika!!
Kijana umetoboa au tumepigwa ndoigewanangu mlio kosa msife moyo, always next time champs
nipo mkuuKijana umetoboa au tumepigwa ndoige
ni kujigawa tu mkuu unakoona kunafaaMbona tarehe Zina kinzana sasa na usahili wa Polisi?? Manake Kuna wengine wameitwa kote
All the best champ huku wamenitema ...nimebak na ccp na kukomaa na JWnipo mkuu
pamoja afsa,tuombeane mkuu.All the best champ huku wamenitema ...nimebak na ccp na kukomaa na JW
Hongera mkuunipo mkuu
Kaka usikate tamaa... Heads up!! Wakati ndo jambo zuri kwenye maisha... Mungu anakuandalia palipo jema kwakoPia nimekosa mkuu
One man down
Ni kuvuta pumzi tu
thank you champ