Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Yule jamaa aliekua anasema huu uzi mzuri sana ...naye amesepa depo
Humu wengi wameenda Depo ila watu walivyo wasiri kama hawakupata vile nafasi
Uzi umepoa si mchezo kabisa!! Jobless kesho tunaamka sangapi kufungulia Bata