Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kaka sio ww uliesema uingizwe chomboni ili umkamate jamaa alieiba tv yenu zamani?
Ndio ni mm ilishindikana

Kama ingewezekana ingebidi niache huku nilipo ili niingie Polisi na lengo langu la kumkamata jambazi aliyetuibia TV yetu ya kichogo
So nilibadili nikawa nawapiganishia ndugu zangu waingie huko ili lengo litimie
 
Sawa chief
Ndio ni mm ilishindikana

Kama ingewezekana ingebidi niache huku nilipo ili niingie Polisi na lengo langu la kumkamata jambazi aliyetuibia TV yetu ya kichogo
So nilibadili nikawa nawapiganishia ndugu zangu waingie huko ili lengo litimia
 
Hao walio msata sahivi Engineers and Doctors walibebwa toka uraiani ndio ujue kuna uhitaji wa hao watu sana
 
Vijana mnaosubiri simu au pdf ya TPDF mpaka sasa hivi Fanyeni shughuli zingine, waliotakiwa weshapigiwa simu na wameisha ripoti mwisho ulikua ni tarehe 4 April . Simu zilianza kupigwa tangu tarehe 31. Ahsante
 
Duuuh hz mambo asee
 
Back
Top Bottom