Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hakuna kitu kama icho yaan huo Ni usaili watachambua vijana wa op mabeyo jumlisha na op samia alaf changanya na hao walioomba mtaani ndio litaundwa bogi la kwenda kupiga kozi oljoro rts

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Anha!! Kumbe.. Thanks kwa info meku..!!

Basi hapa inaonekana wa mtaani watachukuliwa kiduchu tu..
 
Back
Top Bottom