Nafasi za kazi jeshi la zimamoto na uokoaji

Nafasi za kazi jeshi la zimamoto na uokoaji

Umri miaka 16 hadi 28 km umevuka hapo wewe endelea kuchoma Chips tu na kupasua mbao na magogo huko ulipo,

Kingine wamesisitiza utajigharamia mwenyewe kipindi cha usahili Sasa usitegemee watakugharamikia,

Cha mwisho hakuna kiingilio/ada asikwambie mtu sijui umpe kiasi fulani yeye anahusika na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akufaulishe upate nafasi utaishia kutapeliwa tu mripoti mtu huyo mara moja kwenye vyombo vya sheria achukuliwe hatua

Mengine zaidi PDF inaongea pakua soma
 
Back
Top Bottom