Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 796
- 707
Kwa nini unaandika hivi ndugu, ni tangazo la kazi siriazi.Hamna kazi hapa
Hiyo Shule ya Prime mnfanya siasa na kusahau ni Shule yenye mahitaji maalumu .Ajira kwa aliyesoma
Education (kozi yoyote yenye education) nafasi 4.
Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam.
sifa
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Elimu yoyote, cheti, diploma au degree.
Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 au 2025.
Jinsi ya kuomba:
Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba 0653 250 566. ukieleza sifa zako, kwa mpangilio huu:
Jina kamili, Kiwango cha elimu (cheti,diploma au degree), jinsia, mahali pa kuzaliwa, mahali unapoishi kwa sasa, mwaka wa kuhitimu na aina ya elimu mfano eduction.
Msisitizo
Usipige simu, andika ujumbe whatsApp pekee.
Atakayefuta maelekezo atapewa kipaumbele.
Hayo mashart yote mshahara ni laki 8 au unataka cheap labor?Kwa nini unaandika hivi ndugu, ni tangazo la kazi siriazi.
Hapo either Kuna utapeli au mshahara wa barmaid.Ajira kwa aliyesoma
Education (kozi yoyote yenye education) nafasi 4.
Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam.
sifa
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Elimu yoyote, cheti, diploma au degree.
Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 au 2025.
Jinsi ya kuomba:
Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba 0653 250 566. ukieleza sifa zako, kwa mpangilio huu:
Jina kamili, Kiwango cha elimu (cheti,diploma au degree), jinsia, mahali pa kuzaliwa, mahali unapoishi kwa sasa, mwaka wa kuhitimu na aina ya elimu mfano eduction.
Msisitizo
Usipige simu, andika ujumbe whatsApp pekee.
Atakayefuta maelekezo atapewa kipaumbele.
Hamna Shule hapo Mkuu.Hapo either Kuna utapeli au mshahara wa barmaid.
Hakuna shule inaajiri mwenye sifa yoyote, maana shule/center haina kipaumbele cha level ya elimu Wala masomo husika?
Haajiliwi mwenye sifa yoyote hapo, umesoma vibaya. Anaajiliwa aliyesomea ualimu ngazi ya cheti, diploma au degree.Hapo either Kuna utapeli au mshahara wa barmaid.
Hakuna shule inaajiri mwenye sifa yoyote, maana shule/center haina kipaumbele cha level ya elimu Wala masomo husika?
Kabla hujakatisha watu tamaa ya kuomba kazi, angalia kwanza umri wa akaunti ya mleta tangazo. Kuna mtu atapitwa na fursa hii kwa sababu ya fikra hasi zenu.Hamna Shule hapo Mkuu.
Kabla hujakatisha watu tamaa ya kuomba kazi, angalia kwanza umri wa akaunti ya mleta tangazo. Kuna mtu atapitwa na fursa hii kwa sababu ya fikra hasi zenu.
Acha huo mchezo Mkuu hauwezi kufanikiwa kwa style hiyo utaishia kushuka .Kabla hujakatisha watu tamaa ya kuomba kazi, angalia kwanza umri wa akaunti ya mleta tangazo. Kuna mtu atapitwa na fursa hii kwa sababu ya fikra hasi zenu.
Safi kabisa hawa ndiyo wanaharibu kizazi chetu ,ahsanteAcha huo mchezo Mkuu hauwezi kufanikiwa kwa style hiyo utaishia kushuka .
Ujanja katika maisha haufai na ukiendelea hivi utashuka zaidi ya hapo ulipo .
Thank you
Hiyo Shule inaitwa PremeSafi kabisa hawa ndiyo wanaharibu kizazi chetu ,ahsante
Be blessed ,watu waione hii komenti wasizuziliwe na huyu tapeli wa ilimuHiyo Shule inaitwa Preme
IPO mikocheni karibu na kwa warioba .
Pale kuna watoto wenye mental problem .
Pia wapo wachache Sana hawana tatizo Ila most of them wanashida ya akili.
Shule ile ipo disorganized kwakuwa wanaiendesha waswahili ambao ni unprofessional .
Wanaajiri walimu ambao hawapo competent na kutowalipa vizuri aliyakuwa Kazi yenyewe inamuhitaji MTU akae na mtoto amemuangalia muda wote means watoto wenye shida ya akili wanahitaji uangalizi wa karibu.
Kwakuwa hawana uwezo wa kuwalipa watu wanakuwa wanacheza na hii wanasubiri vijana wakitoka chuo wanatangaza nafasi wanachofanya they hire and fire .
Ndo maana anakuambia Uwe na certificate ,diploma na degree unakaribishwa.
Mtoa mada yeye anakaa kama Dalali anakuja JF anaweka tangazo anawatafutia watu sehemu anayojua Ina shida na haifai.
Ndo maana nimemwambia asiwe MTU wa kujiangalia yeye pekee aangalia kuwa IPO siku hata mtoto wake anaweza kufanyiwa hivyo
Ajira kwa aliyesoma
Education (kozi yoyote yenye education) nafasi 4.
Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam.
sifa
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Elimu ya cheti, diploma au degree.
Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 au 2025.
Jinsi ya kuomba:
Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba 0653 250 566. ukieleza sifa zako, kwa mpangilio huu:
Jina kamili, Kiwango cha elimu (cheti,diploma au degree), jinsia, mahali pa kuzaliwa, mahali unapoishi kwa sasa, mwaka wa kuhitimu na aina ya elimu mfano eduction.
Msisitizo
Usipige simu, andika ujumbe whatsApp pekee.
Atakayefuta maelekezo atapewa kipaumbele.
Ndo maana Ame-list hapo kuwa wanahitaji wahitimu wa 2024 na 2025 wakiwa na maana kuwa hawa wanahitaji Sana ajira /kazi na bado hawajaelewa mambo mengi.Be blessed ,watu waione hii komenti wasizuziliwe na huyu tapeli wa ilimu
Tangazo gani la kazi serious hawataki official communication ya mtu kupiga simu wanataka whatsapp tu?Kwa nini unaandika hivi ndugu, ni tangazo la kazi siriazi.