Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Help a sister!
B174B67C-3271-447C-A313-2839BF0E9AB9.jpeg
 
7E921695-75B9-47DC-8C4F-3A52CCD50C32.jpeg

Never Give up, and never let your degree title defines who you're...!!

You can be wherever you want..!!

Be you, the World will adjust.. !!!
 
Hi doc
Nilikuwa nahitaji wadada wawili
Cashier 1
Mmoja awe anajua computer
Elimu atleast awe amefika secondary
Awe anajitambua na mchapakazi
Eneo la kazi ni liquor store Geita mjini
Pakulala papo na atapewa hela ya chakula
Mshahara 250,000
Phone: 0698385659
0759547426
 
🎤 NAFASI YA KAZI: DADA WA KAZI KUKAA KWA BOSS✅️

🔹 Eneo: Bahari Beach, Kunduchi – Dar es Salaam
🔹 Familia: Baba, Mama na mtoto wa miezi 4
🔹 Umri: Miaka 18–27
🔹 Dini: Dini yoyote, lakini Muislamu atapewa kipaumbele
🔹 Sifa: Awe msafi, mwaminifu, mchapa kazi na mwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani vizuri na kumhudumia mtoto kwa uangalifu.

🔹 Dada kutoka mikoani anaruhusiwa.

💰 Mshahara: TSh 100,000/=

📲 WhatsApp: 0744 615 765
 
Back
Top Bottom