Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread


Never Give up, and never let your degree title defines who you're...!!

You can be wherever you want..!!

Be you, the World will adjust.. !!!
 
Hi doc
Nilikuwa nahitaji wadada wawili
Cashier 1
Mmoja awe anajua computer
Elimu atleast awe amefika secondary
Awe anajitambua na mchapakazi
Eneo la kazi ni liquor store Geita mjini
Pakulala papo na atapewa hela ya chakula
Mshahara 250,000
Phone: 0698385659
0759547426
 
Watu wanomba kazi zao kimyakimya!

The people(bitchez) you inspire don't always have to like you. Some of your biggest haters are doing better because they want to outdo you.
Ukiwa makini utagundua haters wako ndio fans Wako ๐Ÿ˜‚
 
๐ŸŽค NAFASI YA KAZI: DADA WA KAZI KUKAA KWA BOSSโœ…๏ธ

๐Ÿ”น Eneo: Bahari Beach, Kunduchi โ€“ Dar es Salaam
๐Ÿ”น Familia: Baba, Mama na mtoto wa miezi 4
๐Ÿ”น Umri: Miaka 18โ€“27
๐Ÿ”น Dini: Dini yoyote, lakini Muislamu atapewa kipaumbele
๐Ÿ”น Sifa: Awe msafi, mwaminifu, mchapa kazi na mwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani vizuri na kumhudumia mtoto kwa uangalifu.

๐Ÿ”น Dada kutoka mikoani anaruhusiwa.

๐Ÿ’ฐ Mshahara: TSh 100,000/=

๐Ÿ“ฒ WhatsApp: 0744 615 765
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ