Tunatafuta wanawake wenye umri wa miaka 24โ32, wenye nidhamu, bidii, upendo wa kazi na nia ya kukua katika taaluma ya urembo.
TUNAKARIBISHA WAOMBAJI WA VIWANGO 3:
1. SALONISTI ALIYEBOBEA ๐
Awe na uzoefu mkubwa, uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea, kusuka kwa ustadi na kukamilisha finishing kwa kiwango cha kitaalamu. Hahitaji mafunzo ya msingi. 400,000
2. SALONISTI MWENYE UJUZI WA KATI ๐ฑ
Awe anajua kusuka, lakini anahitaji kuboresha finishing, kupanga nywele na mbinu nyingine za kitaalamu.350,000
3. SALONISTI ANAYEKUWA KITAALUMA ๐ค
Awe na msingi wa kusuka, hata kama bado hana speed kubwa au hajakamilika katika ujuzi wote. Tunahitaji mtu mwenye bidii, nidhamu, nia ya kazi na utayari wa kujifunza na kuboresha uwezo wake.300,000
SIFA ZA JUMLA
โข Umri: Miaka 24โ32
โข Awe mwaminifu, msafi na mwenye nidhamu.
โข Awe tayari kufanya kazi kwa ushirikiano na kuhudumia wateja vizuri.
โข Awe na moyo wa kazi na kujifunza.
๐ฐ MSHAHARA: Utategemea kiwango cha ujuzi na uzoefu.
๐PIGA KWA AJILI UA INTERVIEW
+255 757 549 393
๐ SINZA KWA REMI(
Tunatafuta ujuzi, bidii na mtu mwenye nia ya dhati ya kazi!