Permanent banned 😂😂Acha unafiki...weka tangazo apa wajuba tuapply
Kuna vitu kwenye hii nchi ukivifwatilia sana utaumwa kichwaJuzi nafasi za kazi nyeti ya polisi zimetoka.
Sharti la kwanza la kuomba kazi ni uwe raia wa kuzaliwa wa Tanzania.
Kumbe kuna tofauti ya uzito wa uraia wa Tanzania, sijui imeandikwa wapi kisheria.
Lakini kama ni suala la “busara” na sio sheria hivi waziri mwenye siri za cabinet sio muhimu kama polisi mwenye siri za wezi wa pikipiki ?
Tunakuwaje na viongozi wakubwa wenye uraia wa kuomba magazetini ?
na pressure unaweza pata..,,Kuna vitu kwenye hii nchi ukivifwatilia sana utaumwa kichwa
Atujuze pia na Waziri mwenye hicho anachokisema kabla hatujaanza kutiririkaAcha unafiki...weka tangazo apa wajuba tuapply
Mbona mnatiririka bila kutupa mifano❕❕❕❕❕❕❔❔❔❓❓❓🤭Yaani mtu sio raia wa Tanzania alafu ameteuliwa uwaziri!!!! Hii nchi ina vyombo vya usalama na kufanya vetting kweli?....aiseee tumepigwa