Nafasi za kazi Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Oktoba, 2023

Huu muungano sometimes naona umekaa 'kijinga kijinga'.

Mtu kutoka Tanzania bara hawezi kuomba kazi za Tanzania visiwani wakati wao kazi za Tanzania bara wanaomba vizuri tu.
 
Huu muungano sisi ndio tunafosi penzi, wenzetu hawana mpango, imebidi wakae nasi kwa maslahi.

Wanatudanga tu, vyao ni vyao, na vyetu ni vya kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…