Nafasi za kazi wahadhiri chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Nafasi za kazi wahadhiri chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Kama hukutokea pembezoni mwa mlima mrefu au kule kwa kwenye gulio la katerelo..sahau kuhusu hizo ajira.

#MaendeleoHayanaChama
izo post zinapitia ajira portal,upendeleo utatokea wapi hapo,hayo makabila ukitizama utadhani wanapendelewa isipokuwa wenzetu waliwekeza sana elimu ndio iliyowafikisha hapo
 
Back
Top Bottom