Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi. Shime kwa wale wenye vigezo, nia na raghba ya kufundisha vijana, tafadhali changamkieni fursa hizo.
izo post zinapitia ajira portal,upendeleo utatokea wapi hapo,hayo makabila ukitizama utadhani wanapendelewa isipokuwa wenzetu waliwekeza sana elimu ndio iliyowafikisha hapo