π¨ TANGAZO LA KAZI β SALES PERSON (2 POSTS) π¨
Time Less International inatangaza nafasi za kazi za Sales Person kwa wahitaji wenye sifa zifuatazo:
β
Awe na Degree au Diploma
β
Awe smart na mwenye muonekano nadhifu
β
Awe na uzoefu wa kazi za sales
β
Awe tayari kuanza kazi tarehe 01/04
β
Msichana atapewa kipaumbele
π Nafasi zilizopo: 2
π© Jinsi ya Kutuma Maombi:
Tuma CV yako kupitia mawasiliano yafuatayo:
π 0782719980
β³ Wahi sasa! Nafasi ni chache.