macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
ephen_ kazi hiyo, utoke kwa mama unakoulizwa siku ya kuolewa kila siku.Sifa za waombaji;
1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30.
2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy)
3. Awe mkazi wa Dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele.
4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo.
Mshahara kwa mwezi ni tsh 360,000/=
Chakula cha asubuhi na mchana kinapatikana ofisini.
Wahudumu wanaohitajika ni wawili (2) tu.
Kuomba nafasi hii bonyeza link hapo chini
jobsfacilitators@gmail.com