Nafasi za kazi za muda sensa 2022

Hiduma kwa wateja umewapata kwa namba ipi mkuu maana me nawatafuta siku ya nne leo siwapati!
 
Oi vp wadau nimejaza fomu ya maombi na nikapakua form no 1 sasa changamoto sipati password bado
 
Ndo haipo mkuu
Kama hamna sms kutoka SENSA AJIRA kwenye email yako... basi jua umekosea kuandika email kwenye form. Maana email unayoiandika kwenye form ndiyo email inayotumika kukutumia password kwa ajili yaa kulogin baadaye ili urudishe form ulizozijaza.
 
Utakuwa umekosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…