Nafasi za kazi za Uuguzi Saudia

Nafasi za kazi za Uuguzi Saudia

Waende kunyanyaswa huko kwa mamia!

20141018_MAP004_0.jpg

😭☝️
Hivyo ndivyo watakavyo kuwa wakifika huko.

Naishangaa serikali kuhalalisha utumwa.
 
Kwani, hizo huduma nchini zimetosha hakuna uhitaji? Kwa nini wapambane kupeleka watu,na siyo watu kuja kufanya kazi huku?
Ina maana hata viongozi wana imani kwamba sasa uwezo hawana,wameamua kuwatesa raia!!! Nani alisema uarabuni watu wanaishi kwa raha? Je, ni kwamba waTanzania wana elimu nzuri kuliko wao?

Hii kitu mara mia serikali ingekubali ushauli wa walengwa,sidhani kama wapo ambao wamedhamilia kwenda.
Utakuta nchi bado ina uhitaji mkubwa,na haina watu,lakini waende tu.
Ndio wanaita Diplomasia ya Uchumi. Yaani Kukubali kutumiwa na kuhalalisha Utumwa na Ukoloni Mamboleo. Hopeless

Huo ni utumwa @ 5G speed
 
Ndo maana viongozi karibu wote wa Afrika wanaitwa vibarua. Watu wasome wakijua wataenda kuajiliwa ugaibuni. Huko kwao watawekeza nini? Kwa kifupi watu wanasoma ili nchi nyingine ndo zinufaike na elimu sasa. Kazi kweli kweli.
 
Viongozi mizigo au sio?
 
Doctors hawataki wanataka ma nurses.
Tena Kwa msisitizo wanataka wa kike.

Huu ni mtego Kwa dadazetu.
Mtego wa nini?

Kama umezowea kula dada'ko sasa ndiyo aende akapate wachumba wenye pesa huko.
 
Doctors hawataki wanataka ma nurses.
Tena Kwa msisitizo wanataka wa kike.

Huu ni mtego Kwa dadazetu.
Wataishia kuolewa na kuzalishwa tu huko, hawataki wanaume kwasababu Wana wivu na wanawake wao.
 
Wataishia kuolewa na kuzalishwa tu huko, hawataki wanaume kwasababu Wana wivu na wanawake wao.
Kwenye hiyo 500 wangapi wataolewa? Mchezo wa wale jamaa huuelewi?
Hivi,kiukweli hao 500 serikali ikiamua hawapati ajira? Je, wamejiridhisha uwezo wao unaendana na elimu ya kule kweli!!! Au ndo wanaenda kufanya kazi kwenye nyumba za wazee! Sawa,pesa na mateso watapata. Lakin i, kweli ndo lilikuwa lengo lao wakati wanasoma?
Hapa bora wale wanaopelekwa Israel.
Kwa nini wasiwachukue kutoka China,Japan,Italy, au kwa warabu wenzao?
 
Kichwa chako hakiko sawa wewe, tafuta mume akupunguze hizo nyege
Nenda katumikie waarabu huko ili upate kuwajuwa wakoje.

Siyo kujazwa ujinga wa kweye mitandao.

Nyie ndiyo wale "mwarabu mbaya" huku unanunuwa mkorogo uwe kama chotara la Kiarabu.
 
Wewe sister Mimi ni black African usinifananishe na Hao wakongo unao ishi Nao hapo kariakoo
 
Nenda katumikie waarabu huko ili upate kuwajuwa wakoje.

Siyo kujazwa ujinga wa kweye mitandao.

Nyie ndiyo wale "mwarabu mbaya" huku unanunuwa mkorogo uwe kama chotara la Kiarabu.
Karibu uchangie na miradi ya kuuza nyama ya nguruwe
 
Nbiblia imesema nguruwe ni najisi, msimguse.

Au unapingana na biblia?
Kwani biblia na daftari la mwanao vina tofauti gani?
We umeulizwa kuhusu biashara yako,biblia ya nini tena. We misomisondo. Umepigaje hapo?
 
Nbiblia imesema nguruwe ni najisi, msimguse.

Au unapingana na biblia?
Tambua umri wako,kila sehemu wewe ni kuvuruga mjadala na kuleta hoja za ajabu ajabu ili -mradi tu umevuruga ,huwezi kuwa dynamic!?
 
Back
Top Bottom