SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ndio wanaita Diplomasia ya Uchumi. Yaani Kukubali kutumiwa na kuhalalisha Utumwa na Ukoloni Mamboleo. HopelessKwani, hizo huduma nchini zimetosha hakuna uhitaji? Kwa nini wapambane kupeleka watu,na siyo watu kuja kufanya kazi huku?
Ina maana hata viongozi wana imani kwamba sasa uwezo hawana,wameamua kuwatesa raia!!! Nani alisema uarabuni watu wanaishi kwa raha? Je, ni kwamba waTanzania wana elimu nzuri kuliko wao?
Hii kitu mara mia serikali ingekubali ushauli wa walengwa,sidhani kama wapo ambao wamedhamilia kwenda.
Utakuta nchi bado ina uhitaji mkubwa,na haina watu,lakini waende tu.
Mtego huu wanaenda kuuchezea mkulungu 500 sio kidogo,Huu ni mtego Kwa dadazetu.
Viongozi mizigo au sio?Ndo maana viongozi karibu wote wa Afrika wanaitwa vibarua. Watu wasome wakijua wataenda kuajiliwa ugaibuni. Huko kwao watawekeza nini? Kwa kifupi watu wanasoma ili nchi nyingine ndo zinufaike na elimu sasa. Kazi kweli kweli.
Mtego wa nini?Doctors hawataki wanataka ma nurses.
Tena Kwa msisitizo wanataka wa kike.
Huu ni mtego Kwa dadazetu.
Mawazo ya mkosaji hayo. Ulitaka kwenda wewe?Mtego huu wanaenda kuuchezea mkulungu 500 sio kidogo,
Mkulungu wanaenda kuchezeaMawazo ya mkosaji hayo. Ulitaka kwenda wewe?
Wataishia kuolewa na kuzalishwa tu huko, hawataki wanaume kwasababu Wana wivu na wanawake wao.Doctors hawataki wanataka ma nurses.
Tena Kwa msisitizo wanataka wa kike.
Huu ni mtego Kwa dadazetu.
Kwenye hiyo 500 wangapi wataolewa? Mchezo wa wale jamaa huuelewi?Wataishia kuolewa na kuzalishwa tu huko, hawataki wanaume kwasababu Wana wivu na wanawake wao.
Kichwa chako hakiko sawa wewe, tafuta mume akupunguze hizo nyegeMtego wa nini?
Kama umezowea kula dada'ko sasa ndiyo aende akapate wachumba wenye pesa huko.
Nenda katumikie waarabu huko ili upate kuwajuwa wakoje.Kichwa chako hakiko sawa wewe, tafuta mume akupunguze hizo nyege
Karibu uchangie na miradi ya kuuza nyama ya nguruweNenda katumikie waarabu huko ili upate kuwajuwa wakoje.
Siyo kujazwa ujinga wa kweye mitandao.
Nyie ndiyo wale "mwarabu mbaya" huku unanunuwa mkorogo uwe kama chotara la Kiarabu.
Nbiblia imesema nguruwe ni najisi, msimguse.Karibu uchangie na miradi ya kuuza nyama ya nguruwe
Kwani biblia na daftari la mwanao vina tofauti gani?Nbiblia imesema nguruwe ni najisi, msimguse.
Au unapingana na biblia?
Tambua umri wako,kila sehemu wewe ni kuvuruga mjadala na kuleta hoja za ajabu ajabu ili -mradi tu umevuruga ,huwezi kuwa dynamic!?Nbiblia imesema nguruwe ni najisi, msimguse.
Au unapingana na biblia?