Nafasi za muda za kusimamia uchaguzi mdogo Mbarali

fullcup

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
809
Reaction score
2,204
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mbarali ametangaza zaidi ya nafasi 1200 za kusimamia uchaguzi mdogo utakao fanyika tarehe 19/ 09/ 2023. Chonde chonde wapinzani msisusie uchaguzi vijana tupate posho.

Attachments

  • FB_IMG_1692618686002.jpg
    60.1 KB · Views: 15
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maenesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. CDM ndio hawana muda wa kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi, wapinzani wengine watashiriki, hivyo msijali kuhusu posho.
 
Hao CDM unaowasema walikuwa wanataka kushiriki uchaguzi mbarari
 
Attachments

  • Screenshot_20230822-183324.png
    339.2 KB · Views: 15
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maenesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. CDM ndio hawana muda wa kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi, wapinzani wengine watashiriki, hivyo msijali kuhusu posho.
nyie cdm ndio hamna muda... Hii haina maana kwamba na wengine hawataki uchaguzi
 
Ni kweli, maana hao wengine aidha wanafaidika na hizi chaguzi za kishenzi, ama wana muda wa kupoteza kwenye hizo chaguzi za kihayawani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…