Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Kwa sasa zinahitaji watu wenye exposure ya nje + uzalendo.Nafasi za uteuzi hazihitaji watu wenye uwezo kiuchumi au wasio nao
Zinawahitaji watu wenye moyo wa kujitolea, uzalendo na uchapakazi watakaoleta mafanikio kwenye sekta zao!
Tajiri gani yupo tayari kuacha shughuli zake ili afanye kazi ya serikali!!Ipo haha ya kizingatia zaidi watu wenye nguvu kiuchumi kushika nafasi kubwa kubwa kwenye vyama serikali na Taasisi ambao kwa nafasi kubwa tunaweza kupunguza, Rushwa, wizi, na kuongeza mentality ya maendeleo.
Watu Hawa wanaweza kuwa Bora kwenye ufanizi kuliko wale wasio jiweza kiuchumi ambao Mara nyingi hukenga nafasi hiyo kuanza kujitafutia Mali kuliko kufanya kazi
Shine huweza kumfanya MTU kuwa na nidhamu kuliko mwenye njaa. MTU mwenye njaa huweza kufanya kazi kwa woga kuepuka kufukuzwa kwenye nafasi hiyo na hiyo huweza kuathiri utendaji.
Nafasi zote wapewe matajiri watuongoze
Nitajiri?Tajiri gani yupo tayari kuacha shughuli zake ili afanye kazi ya serikali!!
Ata Rostam alikuwa Mbunge Igunga ila mambo aliyokuwa anayafanya kwa kutengeneza dili za kitapeli kama EPA ni hatari!
Kwanini unasema hivyoNafasi za uteuzi hazihitaji watu wenye uwezo kiuchumi au wasio nao
Zinawahitaji watu wenye moyo wa kujitolea, uzalendo na uchapakazi watakaoleta mafanikio kwenye sekta zao!
Kichwa chako kimejaa akili kubwa sana ,hekima,busara ,maono na maarifa ya hali ya juu sana.sikufanya makosa ya aina yoyote ile kukuchagua wewe binti. Uongozi ni hekima ,busara,maono pamoja na kuwashirikisha watu. Kiongozi mzuri ni yule anayetumia akili kubwa zote zilizopo ndani ya Taifa lake katika kulipeleka mbele Taifa kwa mawazo yao Chaya katika kila Secta. Unaweza usiwe na uchumi wewe binafsi lakini ukatumia wachumi na wanauchumi kujenga uchumi ulio imara na thabiti na wenye kugusa maisha ya watu moja kwa moja. ephen una stahili kabisa kuwa first lady na siyo refarii.Nafasi za uteuzi hazihitaji watu wenye uwezo kiuchumi au wasio nao
Zinawahitaji watu wenye moyo wa kujitolea, uzalendo na uchapakazi watakaoleta mafanikio kwenye sekta zao!
Akili nimerithi kwako😌Kichwa chako kimejaa akili kubwa sana ,hekima,busara ,maono na maarifa ya hali ya juu sana.sikufanya makosa ya aina yoyote ile kukuchagua wewe binti. Uongozi ni hekima ,busara,maono pamoja na kuwashirikisha watu. Kiongozi mzuri ni yule anayetumia akili kubwa zote zilizopo ndani ya Taifa lake katika kulipeleka mbele Taifa kwa mawazo yao Chaya katika kila Secta. Unaweza usiwe na uchumi wewe binafsi lakini ukatumia wachumi na wanauchumi kujenga uchumi ulio imara na thabiti na wenye kugusa maisha ya watu moja kwa moja. ephen una stahili kabisa kuwa first lady na siyo refarii.
Tumerithishana ephen,si unajuwa watu wawili mkipendana vizuri na kushibana kisawasawa mnajikuta mnafanana kwa kila kitu ephen.Akili nimerithi kwako😌
Hawezi kukubali we mwanaume tegemezi utamlisha nn, kutwa kulamba makalio ya watawala huo muda wa kuchakarika uwe baba responsible kwa family utaupata wp?!.Tumerithishana ephen,si unajuwa watu wawili mkipendana vizuri na kushibana kisawasawa mnajikuta mnafanana kwa kila kitu ephen.
😂😂😂Hawezi kukubali we mwanaume tegemezi utamlisha nn, kutwa kulamba makalio ya watawala huo muda wa kuchakarika uwe baba responsible kwa family utaupata wp?!.
Pesa za uchawa hazina consistecy, leo ndio kesho hapana.