Nafazi za kazi kampuni ya Gardaworld

80k mpaka 150k,,, ndo mishahara ya walinzi wa kampuni ! Tuna safari ndefu sana, huyu mtu ukute anatumia nauli kwenda kazini, ni mjini kapanga na ana familia ! Utaacha kugongewa mkeo kweli ?
 
Umeshindwa?
Nishakuwekea
80k mpaka 150k,,, ndo mishahara ya walinzi wa kampuni ! Tuna safari ndefu sana, huyu mtu ukute anatumia nauli kwenda kazini, ni mjini kapanga na ana familia ! Utaacha kugongewa mkeo kweli ?
Kasome vigezo kwanza then utaona mwenyewe, hii kampuni sio local kama zingine, ni international
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…