Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 398
- 586
TAPELI LILE HATUNA HAMU NALOWatoto wa Pedeshzee Lukumay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TAPELI LILE HATUNA HAMU NALOWatoto wa Pedeshzee Lukumay
Tangazo limekaa kidwanzi sana. Yaani dunia ya leo mtu atoke Mbambabay huko apeleke barua ya maombi kwa mkono Dar..!!??Kampuni ya ulinzi ya GARDWORLD inapenda kuwatangazia watu wote nafasi za kazi.
Kwa maelezo zaidi angalia attachment hapo chini.View attachment 3270295
Hayo unayoyaona kwenye barua ndivyo ufanyakazi wao ulivyo wengi wa viongozi waliomo humo ni primitive balaa.Tangazo limekaa kidwanzi sana. Yaani dunia ya leo mtu atoke Mbambabay huko apeleke barua ya maombi kwa mkono Dar..!!??
kabsa mkuu mi Niko kwenye hiyo kampuni humo Kuna miungu watu profressional hazizingatiwi kabsa.Hayo unayoyaona kwenye barua ndivyo ufanyakazi wao ulivyo wengi wa viongozi waliomo humo ni primitive balaa.
Hatari sana. Halafu usikute hakuna mambo ya kurudishiana nauli wala hela ya kujikimu. Na mwisho wa siku mtu anaikosa kaziHayo unayoyaona kwenye barua ndivyo ufanyakazi wao ulivyo wengi wa viongozi waliomo humo ni primitive balaa.
kama umemaliza form 4 na ni mrefu uhakika kupata 100% mi Niko hukuHatari sana. Halafu usikute hakuna mambo ya kurudishiana nauli wala hela ya kujikimu. Na mwisho wa siku mtu anaikosa kazi
Ukishapeleka hiyo barua, usaili ni siku hiyohiyo??kama umemaliza form 4 na ni mrefu uhakika kupata 100% mi Niko huku
Tangazo limekaa kidwanzi sana. Yaani dunia ya leo mtu atoke Mbambabay huko apeleke barua ya maombi kwa mkono
Waacha wanaume wapeleke maombi, we hamisa mobeto kaa huko huko.Tangazo limekaa kidwanzi sana. Yaani dunia ya leo mtu atoke Mbambabay huko apeleke barua ya maombi kwa mkono Dar..!!??
Yeah, mimi mwenyewe nipo na degree yangu nilianza kama mlinzi 2021 kwa mshahara wa laki 5 kwenye kampuni hii hii ila nilipelekwa zenji. Ila kwa bahati nzuri hii kampuni ina vitengo vingi sana ambavyo vinahitaji wasomi, mfano ma HR. watu wa ACCOUNT na kadhalika, huwa inatoa internal vacancy walinzi wenye degree wanaomba na wanapata nikiwemo mimi, nachezea salary 1m +.Vp kuhusu wenye degree, wanapewa kipaumbele??
Acha watu wakaombe kazi usiwakatishe tamaa.TAPELI LILE HATUNA HAMU NALO
Kama umekamilisha kila kitu utaambiwa tarehe ya usahili.Ukishapeleka hiyo barua, usaili ni siku hiyohiyo??
Uhakika 100% peleka maombikama umemaliza form 4 na ni mrefu uhakika kupata 100% mi Niko huku
Usikatishe tamaa watu mkuu, waache watu wapeleke maombi. Kwa wale tu wenye uhitaji na kazi, sio lazima😀😀😀😀😀😀😀
Hamna kazi hapo
kabsa mkuu mi Niko kwenye hiyo kampuni humo Kuna miungu watu profressional hazizingatiwi kabsa.
Sikupingi mtazamo wako, lakini ujue kwamba unaweza ukawa na taaluma flani lakini ukawa huna nidhani, usitegemee promotion kwenye kampuni.kabsa mkuu mi Niko kwenye hiyo kampuni humo Kuna miungu watu profressional hazizingatiwi kabsa.
Unahitaji msaada wa kisaikolojiaKampuni la kinyonyaji( utumwa mamboleo) Kwa mwamvuli wa uwekezaji