Nafazi za kazi kampuni ya Gardaworld

Nafazi za kazi kampuni ya Gardaworld

Tangazo limekaa kidwanzi sana. Yaani dunia ya leo mtu atoke Mbambabay huko apeleke barua ya maombi kwa mkono

Tangazo limekaa kidwanzi sana. Yaani dunia ya leo mtu atoke Mbambabay huko apeleke barua ya maombi kwa mkono Dar..!!??
Waacha wanaume wapeleke maombi, we hamisa mobeto kaa huko huko.
 
Vp kuhusu wenye degree, wanapewa kipaumbele??
Yeah, mimi mwenyewe nipo na degree yangu nilianza kama mlinzi 2021 kwa mshahara wa laki 5 kwenye kampuni hii hii ila nilipelekwa zenji. Ila kwa bahati nzuri hii kampuni ina vitengo vingi sana ambavyo vinahitaji wasomi, mfano ma HR. watu wa ACCOUNT na kadhalika, huwa inatoa internal vacancy walinzi wenye degree wanaomba na wanapata nikiwemo mimi, nachezea salary 1m +.
 
kabsa mkuu mi Niko kwenye hiyo kampuni humo Kuna miungu watu profressional hazizingatiwi kabsa.

kabsa mkuu mi Niko kwenye hiyo kampuni humo Kuna miungu watu profressional hazizingatiwi kabsa.
Sikupingi mtazamo wako, lakini ujue kwamba unaweza ukawa na taaluma flani lakini ukawa huna nidhani, usitegemee promotion kwenye kampuni.
 
Back
Top Bottom