Darwin proposed that species can change over time, that new species come from pre-existing species, and that all species share a common ancestor. In this model, each species has its own unique set of heritable (genetic) differences from the common ancestor, which have accumulated gradually over very long time periods.
Kwa nini nasema aliudanganya ulimwengu !
Jibu liko hapa
Kama Kwa mfano according to Darwin theory ,sisi binadamu hapo awali tulikuwa nyani,lugha tunayoongea kwa sasa nani alitufundisha? Mbona lugha zetu hazina hata chembe ya uhusiano na lugha ya nyani?
Kwa mfano ,chukua mtoto wa binadamu mwenye umri wa miezi sita ,mweke kwenye sehemu wanakoishi nyani ,ni dhahiri mtoto huyu ataanza kujifunza lugha na tabia za nyani!! Mwanadamu wa kwanza alifubdishwa lugha na supernatural ( Maybe God himself) kwa sababu mwanadamu ukiindoa kulia,kula,kujisaidia ,kucheka mengine yote anajifunza kwa wale ambao amewakuta duniani!!
Kwa hiyo lugha tunazoongea na baadhi ya tabia tumejifunza kwa mtu mwengine.Kama ancestors wetu wangekuwa nyani ni dhahiri lugha yetu ingefanana na ya nyani maana tungekuwa tumejifunza kwa baba na mama Nyani .
Kwa hiyo Darwin alichemka sana .
Karibuni kwa kunikosoa au kuniunga mkono hoja yangu🤣🤣🤣🤣