Nafikiri Darwin aliudanganya ulimwengu nao ukadanganyika

Kwa misingi ipi useme theory ya Darwin ni ya uongo?
 
Ndo maana kuna criticism za theory yake
 
Jamaa inasemekana alikua muumini sana wa dini ila watuwake wakaribu wengi walifariki ikiwemo mkewake hii ikamtia hasira na kuona hakuna Muumba Wala nini, ndo kichaa kikampanda na KUANZA vi Theory vyake vya namna hio.
 
Hapo mwanzo kuumbwa Dunia I kulitokea tanu ikaja CCM ikazaa vibaka engine wakaja kuwa majiwe na baadae Kuja kuzaliwa vyura viziwi
 
Comperative evidence inaeleza wazi kabisa kwamba mwanadamu anafanana na wanyama jamii ya nyani/sokwe na wala hafanani na mbwa,chui,simba,mbuzi,kondoo, ng'ombe nk.
Kwa hiyo common ancestor wetu ni nani hapo?

Na kwa kwani hakuna lugha yoyote tunayoongea unayofanana na ya nyani au sokwe?na kama tungekuwa tunafanana,kwa nini wanasayansi wanatafuta viungo kutoka kwa wanyama Ili wavipandikize kwa binadamu lakini wanashundwa? Si wangetumia figo ya nyani au sokwe kumwekwa binadamu ambaye figo imefeli?

The Darwin theory is wrong somewhere
 
Babu yako alikuwa Sokwe sio Nyani

Baba yako pamoja na wewe ni zao la Sokwe acha ubishi
 
Nadhani ili uelewe kama alikuwa muongo au la inabidi uelewe kwanza anaposema "common ancestor" alimaanisha nini? Je, kusema walikuwa na common ancestor na kusema wote walikuwa nyani /apes " ni kitu kimoja? Inabidi utofautishe hizo sentensi mbili kwanza na ujue ya Darwin ni ipi kati ya hizo ndipo utakapoelewa kama ni muongo au la
 
Kwa hiyo common ancestor wetu kama binadamu ni Nani
 

Mkuu hata kubadilisha Figo au damu sio Kila binadamu unaweza ku-share naye viungo.
 
Ndo mana nakwambia hujasoma vha kutosha mkuu full stop pia.

Kasome mapana ya kile alochokisema kuwa ni adaptation
 
Babu yako alikuwa Sokwe sio Nyani

Baba yako pamoja na wewe ni zao la Sokwe acha ubishi
hahahahaaa .kwa hiyo Lugha na tabia zako nyengine ulijifunza kwa baba Yako Nyani au Sokwe!! Serious?
 
Nasikia baadhi ya Sokwe waliobaki msituni waligoma kubadilika baada ya kujua matatizo yanayowakumba sokwe watakaobadilika na kuwa binadamu.
Hasa kama walijua wanakuja kua chini ya ccm, hata mimi ningegoma.
 
Mkuu hata kubadilisha Figo au damu sio Kila binadamu unaweza ku-share naye viungo.
But at more than 95 percent ,organ transplant zinatoka kwa binadamu wenzetu.Haiwezekani kama Babu yetu ni sokwe au nyani ,tukose nyani au sokwe katika mamilioni ya wanyama hao tukosea wakufanana naye kwa lugha,blood group ,organ matching. Etc.

The theory is wrong
 
Yaan mpo serious kabisa mnajadili hiyo theory

Nilidhani tukiwa watu wazima ingetosha kuona uongo wa huyo mpuuzi
 

Yakweli ni ipi Sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…