Nafikiri Darwin aliudanganya ulimwengu nao ukadanganyika

Kwenye evolution ancestors wa binadamu anaitwa "Hominin", ancestors wa gorillas na chimpanzees anaitwa "hominid"
 
Wasome vizuri uzao wa primates ambao ni DRYOPITHECUS NA KENYAPITHECUS
 
Kwenye evolution ancestors wa binadamu anaitwa "Hominin", ancestors wa gorillas na chimpanzees anaitwa "hominid"
Na aliysema hivyo ni mwongo kabisa
 
Nasikia baadhi ya Sokwe waliobaki msituni waligoma kubadilika baada ya kujua matatizo yanayowakumba sokwe watakaobadilika na kuwa binadamu.
ila akili ya hili sokwe🙌🏾😂
 
Kwenye evolution ancestors wa binadamu anaitwa "Hominin", ancestors wa gorillas na chimpanzees anaitwa "hominid"
Ikiwa kutoka nyani ,sokwe tutapata viungo ninavyoweza kuendana na sisi binadamu hapo theory hii ya Darwin nitawafundisha hata watoto wangu .kwa sasa wasome to wapate cheti basi
 
Ukilinganisha Theory of revolution na theory of creation.

Theory of creation ni ya uwongo zaidi
 
Jamaa inasemekana alikua muumini sana wa dini ila watuwake wakaribu wengi walifariki ikiwemo mkewake hii ikamtia hasira na kuona hakuna Muumba Wala nini, ndo kichaa kikampanda na KUANZA vi Theory vyake vya namna hio.
Sio kweli, Darwin alikuja na theory yake baada ya kuona makundi ya ndege katika visiwa mbalimbali yanafanana baadhi ya vitu kutokana na mazingira fulani.
 
Sio kweli, Darwin alikuja na theory yake baada ya kuona makundi ya ndege katika visiwa mbalimbali yanafanana baadhi ya vitu kutokana na mazingira fulani.
Sio kwel
 
Evolution inaelezewa katika mabilioni na mamilioni ya miaka, huu upingaji wako ni wa kitoto.
 
Ukisema common ancestor wa mzungu,mweusi ,mtu mwekundu ,mwarabu nk ni mmoja hapo nitakuelewa.maana mweusi anaweza akaongezewa damu ya mzungu,na mzungu anaweza akaongezewa damu ya mweusi.Mweusi anaweza akawekewa figo ya mzungu na mzungu anaweza akawekewa figo ya mweusi.
 
Evolution inaelezewa katika mabilioni na mamilioni ya miaka, huu upingaji wako ni wa kitoto
 
Kuna binadamu amewahi kuwekewa figo ya nguruwe.
 
Wewe unachozungumza siyo biology,,,,mambo ya lugha ni tofaut na genetic characters, lugha haihusiani na genetics, zaa mtoto mpeleke ulaya uone kama atazungumza kiswahili.....fikiria tena bado hauna hoja yoyote
 
Kwa sababu evolution imeshatutofautisha, kwa nini upandikize figo ya sokwe kwa binadamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…