Nafikiri Darwin aliudanganya ulimwengu nao ukadanganyika

Vinoba Bhave: "It is not Darwin who proved that mankind descended from the apes. It is man who proves by his own actions that the ape was his ancestor"
 
 
Hoja kama hizi nakutana nazo sana kwenye vijiwe vya kahawa. Na mbaya zaidi ukijifanya msomi na mjuaji eti uwaeleweshe ndio unaonekana hujui kitu kabisa na mtoa hoja ambaye hata la saba hakumaliza anaonekana anajua kweli!! Ahahahahaha!!!
 
Mbona evidence yako ya ku refute the Darwin hypothesis iko very weak. Lugha anayozaliwa nayo mtoto wa binadamu popote duniani ni mamamaaa, bababaaa na dadadaaaa tu, mengine hujifunza kwa wazazi na jamii yake na humchukua zaidi ya miaka miwili.

Scientific evidences za Darwin postulate ziko kwenye baadhi ya genes (vinasaba) ambazo sisi na nyani tuna share pamoja. Hususani nyani aina ya Rhesus monkey tunashare nao hiyo rhesus gene kwenye blood group zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…