Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

Sio kila anaeteseka mtaani maana yake Amekosa wa kumsaidia wengine ni wa kuwaacha wateseke.Watoto wa siku hizi ni wavivu sana wanata wawe ma tajiri from nowhere hawataki kutokwa na jasho.
daa hii koment nimejikuta nacheka sana 🤣🤣
 
Bro niite mimi siku ukimfukuza nmpe seminar huwa mimi namaamuz magum sna baadhi ya ndgu na marafik zangu wenye kampuni kama wewe hunitumia kuwafukuza wafanyakazi viburi maofisin kwao yaani nko strictly haswaa mpka napofanyia kazi ofisi xxx hpa mjin wananiambia huo ujasir nautoa wapi siogopi mtu wala mizimu yao kimsingi mimi ni Chair of Disciplinary Committee hadi maboss nawachana itakua hako katoto ka 2000 kanakonuka maziwa niite orodhesha makosa yake aondoke
 
Ni nyingi kiasi chake,,,anaslimu gani?
By the way watanzania wengi ndiyo tulivyo,,tukiwa wahitaji utatupenda,,tukishapata huamini kabisa tunapokuwa,
 
Tupe uwanja tukupatie wengine wanaohitaji kazi
 
Biashara haihitaji UTU, Undugu wala Ushikaji
Unatakiwa kuonesha he's heshima ya kampuni yako kabla we wenzake hao watatu hawajaadapt hiyo tabia ya mwenzao. Ujue hao wengine wataanza kuwa wazembe ili wapime reaction yako ikoje kwao then hilo ndyo litakuwa ANGUKO lako na kampuni kwa ujumla.

Fanya Mutual termination agreement bila kujali ni Ramadhani wala Quaresma then utaona hao wengine watakavyopiga KAZI


"KAZI MBAYA UNAYO"
 
Kwa Style hii ndio maana nasemaga ujamaa ulitulemaza sana aisee. Mzee kama una biashara au kampuni usisahau kutumia kanuni hii kama kweli unataka kutoka.
"Usifungiwe nira na wasio amini" utakuja kunishukuru. Hata kama ni baba yako mzee kama yuko nje ya kanuni piga chini ili ufike unakotaka ni lazima uwe na teamwork inayoamin unayoamin vinginevyo utapoteza morali ya kazi. Usisahau time management ni muhim sana
 
Linapokuja suala la kazi, kanuni ndizo zinapaswa kutawala. Undugu na urafiki ni mkiwa nyumbani mnakunywa "maziwa".

Lakini mkishafika kazini, ni kazi na kanuni tu. Undugu mtauendeleza mkishatoka kwenye eneo la kazi
 
Mwalimu wa nidhamu katika ubora wake🤣🤣🤣

I suspect wewe ni choleric!

Mtafute mtoa mada, utamfaa sana. Kuna maeneo utamsaidia kukaa sawa.
 
Brother mimi nishakutana na upuuzi huo mwingi madogo hawajui nini wanataka ana vitu anapenda huyo ila mimi huwa nawapa muda tu…we kupambana hivyo sio kuwa umekosa namna ili utimize maono yako uliyonayo na ili maono yafikie lazima uende na watu huyoo si mtu sahihi kwenye biashara yako…mkatae we cha msingi tumia akili akupe contacts za wateja wote aliokuwa anawahudumia mpige chini kwa msg tena…kama anavyopenda kutumia msg…
 
Dogo anaona kama sehemu yake ya kutokea tu hapo kwako [emoji1] akipata sehemu ya kupiga uwinga kkoo hutamuona hapo
Lkn pia kwani unamlipa kiasi gani na unahusika na nini maana tusije kuwa tuna mlaumu tu dogo

Ndo mambo wanayotaka hayo mimi nimekaa winga kariakoo sio rahisi kama wanavyodhani hao machaliii…winga wa sasa unatakiwa uwe na mtaji Game pale kariakoo sio kitoto nowadays
 

Mpromote huyo mwenye juhudi…afu hao madogo usimwonyeshe bila yeye mambo hayaendi yani kwenye maongezi tu ya wakati wote muoneshe mlango wa kuondolewa uko wazi wakati wote[emoji3] atakuwa kwa nidhamu
 
Mbadilishie kazi za kufanya.
 
Linapokuja suala la kazi, kanuni ndizo zinapaswa kutawala. Undugu na urafiki ni mkiwa nyumbani mnakunywa "maziwa".

Lakini mkishafika kazini, ni kazi na kanuni tu. Undugu mtauendeleza mkishatoka kwenye eneo la kazi
Sio Africa mzee. Nina experience ya miaka 30. Unaweza kuweka kanuni zote unazojua Lakin ukimkabidhi kaz ndugu ikitokea los yoyote ndugu hao hao au wazazi wanamtetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…