4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Naunga mkono hojaSina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua .
Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana
Thanks
ok.Sina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua .
Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana
Thanks
c.c CCM MTANDAOSina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua .
Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana
Thanks
Mako anaijua siasa vizuri sana kuliko makatuga wengi walioshika nafasi kubwa za kisiasa huko CCM na serikalini.Sina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua .
Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana
Thanks
Kwani vibaya iwapo ana uwezo ana sifa?Makongoro akiwa rais tegemea kuona Poppy Hatonn, akiwa waziri mkuu.
2030 Makongoro Nyerere atakuwa na umri gani?Sina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua .
Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana
Thanks
Andrew si ndiye huyu poppy, au Kuna mwingine?😁Kwani vibaya? na Andrew Nyerere aliyewahi kuwa mbunge kupitia upinzani atafaa kuwa waziri wa biashara