Nafikiri miaka 100 ijayo taasisi ya ndoa haitakuwepo kabisa

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Hi,

Kwasababu ya huu utandawazi wa internet, redpill movement, mgtow, mambo ya LGBTQ, udangaji, atheism, umaskini na unemployment wanaume wengi watachelewa kuoa, wanawake watazidi kuona suluhisho ni kudanga, wanaume wataona wanawake wote ni wadangaji, hata wakioana, muunganiko wa moyoni hautakuwepo, kila mmoja ataona mwenzake Yuko hapo kimaslahi

Sababu ya umaskini, na watoto kukosa malezi ya baba na mama, prostitution/ ukahaba utaongezeka, wanaume wengi asilimia 87 wataishia kununua makahaba wa barabarani badala ya kutongoza na kuoa.

Wanawake wataishia kujiridhisha kingono kwa kutumia dildo na vibrators, au kusagana wao kwa wao.

Kasi ya binadamu kuzaliana itapungua na hatimae Dunia kuangamia
 
Binadamu akiangamia dunia itanawiri.

Muharibifu namba moja wa Dunia ni binadamu.

If all human beings become extinct, plants and animals will survive and last for so long.

Dunia haimuhitaji binadamu, Binadamu anahitaji dunia.

Binadamu asipo kuwepo mimea, wanyama na species zote zita ishi kwa uhuru kwenye mazingira safi yasiyo na uharibifu wa mwanadamu.

Kwanza, natamani binadamu wote tutoweke, tuwe extinct kama dinosaurs [emoji3072][emoji3072].

Nature will last forever, Binadamu akitoweka.
 
Umerahisisha mambo kinomaa yani very straight hatimae dunia kusngamiaπŸ˜…
 
Fikra hata sisimizi huwa nazo.
 
Kuna move moja iv kulitokea janga ,binadamu wakatoweka wachache wa wakapanda spaceship nakujificha kwa mda fulani, majanga yalipoisha wakatua, wakakuta hakuna binadamu hata mmoja zaidi yao na majumba barabara zimefunikwa na majani .

Kiufupi mazingira yalikua bora na salama sana .
 
Ndio mpango wa 'NWO'
 
Inaitwaje mkuu!
Natamani niitafute
 
itakuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Dunia haina miaka 100 ijayo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…