Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Dunia haimuhitaji binadamu kwa lolote lile.Kuna move moja iv kulitokea janga ,binadamu wakatoweka wachache wa wakapanda spaceship nakujificha kwa mda fulani, majanga yalipoisha wakatua, wakakuta hakuna binadamu hata mmoja zaidi yao na majumba barabara zimefunikwa na majani .
Kiufupi mazingira yalikua bora na salama sana .
Binadamu ni muharibifu namba moja wa Dunia.
Akitoweka nature will last forever.