Lini umeona Mama akakubali mtoto wake ana shida mbele ya hadhara?Wasalaam.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama ake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Siajara.
Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubari kama mwanae ana shida yani hana Imani kabisa kwamba Chid anashida.
Hii inaweza kupelekea Chid asipate unafuu kwa kipindi hichi cha karibu coz watu muhimu wanao mzunguka hasa mama ake hana imani kama Chid analo tatizo.
Hapo ndo jamii ione namna ilivyo ujinga kuajiri influencers badala ya wanahabari wenye taalumaNimeangalia hiyo Interview Clouds. Nimegundua Mama Chidi ( Hawa) She is very Brilliantly.. mtangazaji alitaka kumtumia Mama ili aoneshe Mapungufu mengi ya Mtoto wake.. Mama anasisitiza Tatizo lipo ila sio lazima ku expose Publically.. ndicho Mama anasisitiza.. na amekua Mjanja sana kujibu maswali.. Hata mtangazaji alikua anakosea sana kutaka kuweka vitu Vingi Publically!!
Wamama hupenda Kuvaa viatu vya Watoto wao..
Vipi mama WemaLini umeona Mama akakubali mtoto wake ana shida mbele ya hadhara?
Hakuna mama atakayekubali kumfedhehesha mwanaye hata kama moyoni anajua anastahili fedheha hiyo...
Hakuna mama atakayekubali mwanaye aumie kwa sababu ya maneno aliyoyatoa yeye...
So Anaweza akawa yeye anamshauri sana Kuhusu Tabia zake ila hawezi kuweka hadharani...
Safi mama KahabaVipi mama Wema
Fanya tusaidiane labda ni wapi umeona Kuna makosa ya matumizi ya herufi 'h' na 'a' manake muda mwingine unaweza fikiri unafahamu kitu na kumbe hakuna unalo elewa..Nimepata shida kuelewa nn umeandika sababu ya kutotumia vizuri "h" na "a"
Itakuwa amecomment bila kusoma thread mkuu msameheFanya tusaidiane labda ni wapi umeona Kuna makosa ya matumizi ya herufi 'h' na 'a' manake muda mwingine unaweza fikiri unafahamu kitu na kumbe hakuna unalo elewa..
Sikuelewa aliposema Kuna makosa ya matumizi ya herufi 'h' na 'a' au pengine na yeye ni muumini wa kuandika apana=hapana,akuna=hakuna..ujuaji mwingine sio mzuri.Itakuwa amecomment bila kusoma thread mkuu msamehe
Ile sheria ya waandishi wa habari wawe na ithibati nakutakiwa kurudi shule,iliishia wapi?Hapo ndo jamii ione namna ilivyo ujinga kuajiri influencers badala ya wanahabari wenye taaluma
Ila mama yake Wema aliweza...sio kwa kumchamba kule mwanaeLini umeona Mama akakubali mtoto wake ana shida mbele ya hadhara?
Hakuna mama atakayekubali kumfedhehesha mwanaye hata kama moyoni anajua anastahili fedheha hiyo...
Hakuna mama atakayekubali mwanaye aumie kwa sababu ya maneno aliyoyatoa yeye...
So Anaweza akawa yeye anamshauri sana Kuhusu Tabia zake ila hawezi kuweka hadharani...
🤣🤣🤣Ila mama yake Wema aliweza...sio kwa kumchamba kule mwanae