DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ulitaka kusema anatakiwa kuyasema makosa yake public?Uko sahihi sana kwa hili,na hii ndio chanzo kikuu cha kuambiwa wanawake ndio wanaoharibu watoto.Unakuta anajua kabisa kuwa mtoto ana makosa lakini atayaficha akijua anamsaidia kumbe ndio anampoteza...
HAkuna mama wa Dizaini hiyo duniani kote au hata wewe kama mzazi unaweza kusema makosa au Aibu ya mwanao Public Huku ukiamini unaissma mbele ya mamilioni ya watu..
Nafikiri katika jambo ambalo kalifanya la muhimu kuliko yote ni hili